Recent content by pakesi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari wakuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    safi sana mama makinda heshima ya bunge lazima irudi hawa watu watolewe tu maana maana hakuna jinsi nyingine toa hao wameshajiona hawana sera wanatafuta huruma kwa wananchi toa hao kila kitu na kila siku wanapinga kila kitu hata kujiandikisha wanapinga toa hao toa hao wafungie mpaka bunge la 11...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

    hatuwezi kumpa mlevi nchi makongoro akajipange upya na wakimiweka yeye kawatukana wagombea wenzie hakuna atakayemuunga mkono so ccm ikimuweka makongoro itakufa kifo cha mende na chadema wanamtaka makongoro kwasababu wanalewa nae viroba so wanajua wapi pa kumfilisi hatutaki.............!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    unatumia hesabu za mwaka gani??je hao ccm hawavuni wanachama wapya??fikiri kabla ya kubwabwaja
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

    mwanahalisi mzushi tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anataabika kupata wadhamini?

    wengine wambetenea mikoa15 tu sasa yey anazunguka mikoa yote
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM itashinda tu uchaguzi mkuu ujao hata kwa goli la mkono

    Mmezidi kulalamika.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

    utamwaga damu wewe na ukoo wako
  9. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    NO3 ni uongo kabisa sikusikia lowasa akilisema hilo mimi ni ukawa na niripota but sikusikia maneno hayo akiyazungumza kwahiyo mtoa mada sio mkweli
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    kwa sharti la kutokutajwa jina alafu majina yenu yalikua yameandikwa na mliitwa mmoja mmoja kupewa hela sasa huu si ukichaa????uongo mwingine bwana kazi kweli kweli
  11. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mdahalo wa vyama vya Siasa, 18 Juni, 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Chadema wakijua Zito yupo sehemu lazima wale kona wanatafuta zile point alafu wazichukue wao
  12. P

    JamiiForums Tanzania Zitto azomewa Bukoba

    yani huku mnapotosha sana watu hii bukoba ingekua marekani ingekua kazi sana yani
  13. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    sawa mkuu ila ndio ukweli msaliti hawezi kumjua msaliti mwenzie mpaka kwanza akiri mwanzo na yeye alikua msaliti
  14. P

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    ooooooyoooooyoooooyooooo....!apigwe tu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Alfonce umewahi kunifundisha bondeni unapomwita zitto Yuda jiukize wewe sio Yuda?nini kilikuamisha arusha....unataka tuweke wazi uliyofanya haya twende kazi.. ulipokua diwani wa sombetini ulinunuliwa na ccm na ukaiangusha TLP haya baada ya hapo ndio ukaingia chadema wewe pamoja na jirani yako...
Back
Top Bottom