Recent content by pakata

  1. pakata

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    November 13 like hapa
  2. pakata

    JamiiForums Tanzania VODACOM #SIMUEXPO TAREHE 11 na 12 Mwezi Wa 03. Mliman City.KARIBUNI

    Mzigo wa wiki endi hii ya tarehe 11 na 12 Machi 2017 katika #SimuExpo viwanja vya Mlimani City. Karibu ujichukulie Simu yako Fasta. Vodacom Tanzania on Twitter
  3. pakata

    JamiiForums Tanzania Video: Askofu Gwajima atuma pepo kwa 'anayesumbua Dar es Salaam', pepo lakataa na kusema haingiliki

    HILI NITALISEMA, JAPO BAADHI YA WATU LINAWEZA KUWACHUKIZA! Ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana, kumuona mtu anaesema kuwa yeye ni Mtumishi wa Mungu tena mwenye kuchunga Kundi kubwa la Watu, LEO akirekodi VIDEO akimkemea pepo aliye ndani ya Wanamke, na kuliamuru PEPO, ili alisamehe basi...
  4. pakata

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    dah sema hiyo link aisee uwezi amini nahangaika ifungua toka asubuhi lakin holaaaa haifunguki
  5. pakata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Kipato cha familia hapo n lak mbil tu
  6. pakata

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Bado bado. Watasoma namba!!!
  7. pakata

    JamiiForums Tanzania Vodacom kukubali kutoa ushahidi dhidi ya Lema ni dharau kubwa kwa watanzania

    Ni wapi paliandikwa mteja akifanya makosa taarifa zake zinabak siri. Usijidanganye!!! Vodacom inawanasheria na Wanajua sheria vizur!! Haiendeshwi kwa Mizuka ya Kisiasa kama mnavyodhan
  8. pakata

    JamiiForums Tanzania Goli la Oliver Girlod lazua mjadala

    gori lenyewe Ndo Hili Hapa
  9. pakata

    JamiiForums Tanzania Kheri ya Xmass

    Habari Wakuuu........ Nawatakia Kheri ya X_mass Wana JF wote.
  10. pakata

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Mdo ashalala Ndani. Hakuna Huruma ya Mungu kwenye Kitu Kinaitwa sheria
  11. pakata

    JamiiForums Tanzania CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    Apumzike kwa Amani
  12. pakata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Ili kuweza kiwahudumia Waumin Kwa Ukaribu Zaidi. (Waweze Kuifanya kazi ya Mungu kwa Ukaribu Zaidi).
  13. pakata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, hivi vitu vinatukera sana sisi wakinadada

    Itakua labda boy wako hana mguu wa pensi ndo maana unatuonea wivu wengine etiiii... nimekushtukia
Back
Top Bottom