Recent content by pakalolo

  1. P

    Hivi Serikali, Wafanyabiashara, mnafikiri Watanzania ni wapumbavu kukaa kimya?

    Kamanda Kova kwa hili nakuaminia.....nina imani iNTELIGESIA yako iko ngangar na wakijaribu tu....tafadhali wakamatwe na wapelekwe kwenye kisiwa kisicho na watu waanze maisha huko.
  2. P

    Hivi Serikali, Wafanyabiashara, mnafikiri Watanzania ni wapumbavu kukaa kimya?

    PANYA ROAD TISHIO: Asilimia 84 ya watu wahofia muda wowote wanaweza kuathiriwa na wanyang'anyi kama "Panya Road", utafiti wa Twaweza uliotolewa leo Dar waeleza.
  3. P

    David Kafulila atunukiwa Tuzo kwa hoja ya Escrow

    Kumbe gwaride la juzi umwanja wa taifa lilikuwa la mwisho kwa Nambar One wa sasa.Ina maana atabakia kuwa kama kina Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa.....Sasa wale walinzi wake wote wataenda naye au watamsubiri nambar one mwingine.Kupunguza matumizi na kuondoa u mungu mtu ajaye namuomba awe na walinzi...
  4. P

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    MAY 2015 imewadia.....wekeni hadharani wagombea acheni blahblah.
  5. P

    Star TV hamtendi haki

    Kama ni hivi Dotto Bulendu rukia Azam au tukufanyie mpango Citizen ya kenya kabla hujaenda BBC au DW
  6. P

    Mirungi chewing: Inapoteza hamu ya kufanya mapenzi

    Nashindwa kuelewa ni kwa nini sikubaliani na hiyo hoja.Nina mtu namjuwa ni mlaji mzuri wa mirungi na kwa muda mfupi amezalisha mke wake watoto wanne.
  7. P

    Team Lowassa wapata aibu hospitali ya Mt. Meru, Arusha

    Halafu baadhi ya watu wanasema ......Italikomboa jimbo la ARK.wapi Kinana aliyetoa amri soko la moshi lifunguliwe..kuna hatari kubwa saana ya kipindupindu pale sokoni na watu kuumia kwa kuanguka.
  8. P

    Vijana wa CHADEMA waliokamatwa na zana za Kijeshi, waachiwa kwa dhamana

    Jeshi letu lina silaha duni saana,yaani wanatumia manati na visu kulinda nchi na wakubwa wa jeshi wanapewa magari ya kifahari wanapostaafu.Ningeshauri jeshi linunue bunduki..vifaru..helicopters..ndege vita..mabomu ya machozi nk..nk..nk
  9. P

    Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

    Nadhani alikuwa na mawazo bado hajamaliza vikosi...ukizingatia muda ndio huo unayoyoma....UFALME ni kitu khatari na kitu mzuri .
  10. P

    Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    Wakuu wote.....tuwashauri nsugu zetu tuwe REALISTIC..dunia inakwenda haimsubiri mtu...hata Mwalimu alisema aliyoweza kufanya ameyafanya na aliyoshindwa ameshindwa mwingine atayafanya.Mulioko madarakani pia mumefanya kadiri ya uwezo wenu na mengine hamjaweza....kuweni waungwana na wengine waje...
  11. P

    Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    As long as hawa Wazee wataendelea kungangania madaraka serikalini na kwenye Chama tawala..vijana wasomi andikeni mumeumia....hamtapata ajira kabisa.solution wazee watoke vijana muanze kazi..Hivi Mzee Msekwa...Mzee Malecela...Kingunge bado wapo kazini???? Sasa hata busara zao hazitakiwi na vijana...
  12. P

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Uzuri wa hii forum wengi wetu tuna akili na tuna uwezo wa kifedha....mia miambili hazitupigi chenga.Tunajuwa pumba na mchele na wengi tuna sura mbili..ile ya sura ya kweli inafichwa na ile ya uwongo..lakini inabaki na mvuto wake.
  13. P

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Kwa nini mnachukuwa njia ndefu kufika wakati njia fupi nzuri ipo.Semeni ukweli...this time ni BATTLE ya makanisa na misikiti na matokeo tutayaona.
  14. P

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Wanakusanya ushahidi wa kuelekea ICC.Hebu tuone wasomi wa sheria walivyofanya ktk kupitisha miswada ya sheria....mtakumbuka ya AG kuyakubali mabadiliko ya Lissu kwa masharti yasemwe na Chenge.Shauri yao yetu macho.baada ya kura naenda Mombasa
  15. P

    Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

    HAKUNA MAHAKAMA YA KADHI KATIKA QURAN.......kwani mahakama ni nini.....nijuavyo ni chombo cha kufasiri sheria.Na sheria alizoziweka ALLAH zipo.kwa hiyo mahakama ni kufasiri tu
Back
Top Bottom