Recent content by PakaJimmy

  1. PakaJimmy

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena. So far tuna marubani na huenda tumetrain wahandisi wa aina hizo za Ndege. Mm nimeona at least hizo equipment ziko tailored kwa mazingira yetu...
  2. PakaJimmy

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Ungemalizia kwa kusema aina ya Ndege zinazokuja ingefaa zaidi. Kwa kutaja aina tungejua kama zitafanya kazi au ni za kukaa kwenye eneo la maegesho kama ilivyo kwa zile kubwa mbili zinazootea jua.
  3. PakaJimmy

    Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

    Hiyo Kamati ishauri yote, lkn siyo masuala ya quarantine, yameshapitwa na wakati kwasasa. Kikubwa tutakachodaiwa ni kutoa figures za waathirika as of now. Lengo liwe tu kuwa at per na Jumuia ya Kimataifa tu. Ile pesa ya CDC na WHO tutalamba tutaidirect kwenye kuadvance facilities zetu za...
  4. PakaJimmy

    Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

    Nimegundua leo kuwa kumbe Protocol ni tasnia nzito inayojitegemea kabisa. Jibu la hii hoja ya mleta mada ni ni rahisi. Rais, atawekewa Zulia Jekundu pale tu atakapokuwa anawasili nchini kutokea nchi nyingine ya jirani au ya ng'ambo, na pale anaposafiri kuelekea nje ya nchi yake. Zulia jekundu...
  5. PakaJimmy

    TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Write your reply... Nilipigiwa simu jana alfajiri na Jamaangu anayeishi eneo la UsaRiver akaniambia kuwa wako Kilimanjaro International Airport muda wa saa 1.00 Akaniambia kuwa wamefika hapo kuupokea mwili wa Rafiki yetu Freetown ambao umeletwa na Ndege ya Emirates. Freetown alikuwa mfanyakazi...
  6. PakaJimmy

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Nimelazimika kurudi hapa kwa haraka sana ili kuungana na wenzangu nyote kumlilia mwanaJF mwenzetu Easymutant. Kifo chake kimekuwa si cha kawaida, maana kimetustua sana. Kwa ufupi hakuna aliyetarajia kuwa jamaa angeondoka katika siku za karibuni. Arusha Wing tumepata pigo kuu maana huyu jamaa...
  7. PakaJimmy

    nawasalimu wote

    Kwa miye binafsi mzima wa afya kaka.. Hofu na mashaka kwako...mambo yametuzidia wengine siye.
  8. PakaJimmy

    Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

    Hapa nadhani tuongelee issues na sio persons! Tukimalizana na huyo tutafuata na nani?
  9. PakaJimmy

    TTCL mmenikwaza sana na huduma yenu

    mitambo yao bado analojia mkuu...ukongwe kwenye biashara ya electronics si ishu..!
  10. PakaJimmy

    Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

    Nawashukuru sana wadau wote kwa concern yenu kwa yaliyonipata... Muendelee kubarikiwa...
  11. PakaJimmy

    Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

    Habari zenu ndugu wadau. Ni siku nyingi kidogo tokea tumekuwa pamoja hapa. Ila nimegundua kuwa bado tuko pamoja sana kimawazo. Nawashukuru sana wadau wote wa hapa JF kwa support na wishes njema wakati wa shida kubwa sana iliyonipata ya kupotelewa na mtoto kwenye ajali ya wanafunzi kule Karatu...
  12. PakaJimmy

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Pole sana mkuu. Kwa upande mwingine huu ni ushujaa, na wengi sana tuko nyuma yako, kwa sala, maombi na mapenzi mema. Unachopigania si chako na familia yako, bali ni kulinda heshima na maslahi ya Jukwaa. Usione kuwa unateseka...bali kuwa unajenga ushujaa!
  13. PakaJimmy

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nipo kiongozi wangu. Maisha yanaendelea. Nimemefurahi sn kuwaoneni nyote ktk uzi huu.
  14. PakaJimmy

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nianze kwa kumshukuru sn Nyani Ngabu kwa thread hii ya pekee iliyotuibua wengi toka kwenye machimbo. Kwa mimi binafsi kazi zangu za sasa hazinipi nafasi ya kutosha kuingia huku mtandaoni. Lakini pia niushukuru uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa ya kutuunganisha wadau mbalimbali kwa kipindi cha...
Back
Top Bottom