Recent content by paka poli

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya 'Mama Ntilie' wa Mwanza na Dar

    Acheni maneno yenu tabia ya mtu mmoja sio tabia ya mkoa mzima. Research yako ilikuwa na sampling kiasi gani? Nenda darajani karibu na msikiti wa mabanzi uone kuna dada anaitwa madina uagize msosi. Mke wako itamchukua miaka 10kufikia
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

    Hatuwezi kutoa maamuzi kwa kusikiliza upande mmoja ni lazima tusikilize pande zote. Nachojua mwalimu hawezi chokoza mwanafunzi. Alafu walimu sasa hivi wengi ni vijana wana mambo yao muda wa kukufuatilia hawana. Lazima mtakuwa mnaukorofi kama yule wa mbeya. USHAURi dogo tii sheria acha kuvutana...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

    Bora umwambie. Alafu huyo mwanafunzi alio sema hajui au amesahau. Je tangu amesoma o-level shule yao ilikuwa inaruhusu simu shuleni? Pili simu zimezuiliwa na sheria za shule zipo katika joining instruction.sasa inakuwaje hicho ni kibuli. Ningekupiga adhabu Kali mpaka ushangae
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

    Mdanganye akamatwe na simu ndio utajuta. Acha kushauri watoto vitu vya hatari
  5. P

    JamiiForums Tanzania MASHINE ZA INCUBATOR

    Duuuh mbona bei zipo juu hivyo mfano ya 1024/56 China ya kuagiza pamoja na ushuru ilikuwa 1.35M .wakati nyingi za kibongo zina mapungufu madogomadogo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

    Hakuna kitu kama hicho. Rafiki yangu Aliweka hata Ajatoka shambani ngedere wakaanza kula mahindi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

    Mbona sisi tumegundua mengi sana kama Singeli,viduku,chips,
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania huwa tunatoa misaada nje ya nchi au kazi yetu ni kuomba tu?

    Uliza bukoba wata kujibu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Tafuta chumba upange Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    JamiiForums Tanzania NYONGEZA MISHAHARA: Je TUCTA wapo au wamejipa likizo?

    Nyogeza tu nunulia ... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka lenye kemikali hizi dar

    Nakushauri Fanya mawasiliano Nairobi hapa sidhani na Nairobi zipo chini sana kwa bei unaweza 50% Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Mmmmh we jamaa noma makavu live Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    JamiiForums Tanzania Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

    Hapo juu umeeleza vizr. Lakini hapo chini kwamba watu wa kanda ya ziwa star TV ni Kama ibada.huo ni uongo maana Hakuna bar yoyote inayo onyesha taarifa ya star. Hata kwangu nyumba ni ITV. Nyingine huwa kwa vipindi maarufu Post sent using JamiiForums mobile app
  14. P

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Boss Ku update vp? Niliomba toka mwaka Jana na barua tayari zilisha tumwa tamisemi sasa na updatia wapi.nipe maunjanja boss Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom