Recent content by Painstruth

  1. Painstruth

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    ni gazeti la mwanahalisi...siyo mtoa maada unachosema kina mantiki, hakuna haja ya habari hizi kuwekwa gazetini, cha ajabu mwanahalisi lina bifu na zito, mwanahalisi ni hao wa koo za akina mbowe!
  2. Painstruth

    Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

    Hapa ndio mnapokosea....Magufuli alitoa kauli ile baada ya kuzomewa! hakuna anayesema wananchi waombe msamaha kwa kuzomea.......
  3. Painstruth

    Kafulila kuendelea na ubunge

    maumivu ya kichwa yanaanza taratibu...kule kwetu pemba wanasema ''umetokota baba'' chuki hazijengi...aibu hii mkuu, kimbia thread...vyombo vyote vya habari vimeandika zuio la mahakama kuu...what the fck are you writing here? we can not buy your holy shit craps of yours......Lema we! citizen...
  4. Painstruth

    Kafulila kuendelea na ubunge

    unawashwa?? Court blocks Kafulila expulsion from NCCR Send to a friend Tuesday, 27 December 2011 22:03 digg By The Citizen Reporter Dar es Salaam. The embattled NCCR-Mageuzi’s Kigoma South MP, Mr David Kafulila, won a political reprieve yesterday after the High Court temporarily...
  5. Painstruth

    Lowassa hajawahi kwenda kuhiji Butiama: kwa nini?

    Acha kuanika ujinga wako mkuu! wewe lini umewahi kwenda 'kuhiji' ? nyerere sio dini, sio mtume, sio mtakatifu, ni mtu kama ww na mimi! he wasa a man who did what is the best in this planet, Steve jobs, isaac netwon, galileo, edson, they all did what is man supposed to do in this...
  6. Painstruth

    Kuna waishio Chunya, Mbeya au maeneo ya karibu humu?

    Ni mwendo wa masaa mawili kutoka mbeya mjini, barabara is fairly good, ispokuwa kuna kona kali za hapa na pale ambazo ni kuwa mwangalifu nazo. Ukiwa unaelekea chunya upande wako wa kushoto utaoba bonde zuri sana la usangu ( belong to rift valley). Kuna ukungu kidogo nyakati hizi Ukifika...
  7. Painstruth

    Madent wa Kitanzania Wajiuza Majuu-cheki picha hapa

    Dada wa kwanza kutoka kushoto ni kama muhaya vile, wa pili ni kama mchanga wa rombo, wa tatu ni either mpare au dada wa kitanga, lakini kuna sauti inaniambia ni kama dada wa iringa vile, wa mwisho wala sijiulizi sana lazima mpogoro huyo.. yaani nimehisi tu!
  8. Painstruth

    Zitto katika gazeti la Denmark

    Tangu lini wewe ni chadema? lini chadema walikaa chini na kukubaliana kuwa..mtu hawezi kusema kitu wala kujibu chochote mpaka afuate utaratibu! si afadhali sana aliyeulizwa kwa nini Tanzania haiendelei akasema hata yeye anashangaa!
  9. Painstruth

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    Ushahidi wa kuwa Lowassa ni fisadi uko wapi? mtu mzima?
  10. Painstruth

    Zitto katika gazeti la Denmark

    UNAUA KAKA!!! zito hawwamuwezi...wivu tu unawaua hawa jamaa
  11. Painstruth

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    1. Ulizungumza nao wewe kama nani? 2. Je uliwajuaje kuwa ni TISS 3. Wote 15 walikupa majibu yanayofanana na walikubali kuwa wamefanya hiyo kazi, kwa insurance gani uliyowapa walikuaminije? are you boss at TISS and your subordinate have done this? who are you??? [ 1. what was your...
  12. Painstruth

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    grow up?? huoni unavyorukaruka na kutapatapa? una ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi, nani wa kumpeleka mahakamani? JK kama rais anafanya nini kuhusu hili? mimi siyo CDM mkuu naona unachanganya mafuta na maji, I have never liked CDM but I always hate CCM! Wewe ni CCM hata useme nini, hoja...
  13. Painstruth

    Zitto katika gazeti la Denmark

    Looser! aliyesema ni zito ambaye ni chadema, akisema slaa au mbowe watasema majina yao pia japo ni chadema. wangesema chadema imesema?? nani sasa ndani ya chadema? unajua imefikia muda huyu jamaa mmemlaani kwa mambo mengi na kumtishia mengi ya future yake......'hali si kama anvyodhani'...
  14. Painstruth

    Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

    Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi 1. Nani kaitisha mdahalo? 2,. Je walimualika Zito au alijialika? 3. Je walialika chadema...
  15. Painstruth

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    Mnafiki! huwezi kumtenganisha JK na Lowassa hata kidogo, kukubali kuwa wewe ni CCM na kuwagawa hawa wasafi na hawa wachafu...hutafiki mbali hakuna msafi CCM si wewe si bosi wako Membe na mjomba wako Kikwete! Aibu!!!
Back
Top Bottom