Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

grow up??

huoni unavyorukaruka na kutapatapa? una ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi, nani wa kumpeleka mahakamani? JK kama rais anafanya nini kuhusu hili?

mimi siyo CDM mkuu naona unachanganya mafuta na maji, I have never liked CDM but I always hate CCM!

Wewe ni CCM hata useme nini, hoja za JK kuwa ni mwizi ukipewa unafanya nini? mikataba ya madini yote ni JK, SONGAS ni JK ana share mle, IPTL nani aliingia mikataba ile? Richmond au Dowans source ya tatizo ni Lowassa..you must be joking! really , upofu umekupata mkuu kwa penzi lako kwa JK. for more than six years unayesema msafi hajafanya lolote la yeye kuonekana yuko kinyume na ufisadi...meremeta, kagoda, n.k hajaweza kutibu.EPA yeye ndiye chief architect wa maswala yote na Balal yuko hai majuu. Ukitaka ku-prove kuwa EPA ni JK kamuulize mkapa.

am I still young?

You still young upstairs yes! Haishangazi unapokurupuka na kusema Ballali yuko hai majuu na hata kudai kwamba JK alikuwa ni architect wa mambo yaliyotokea akiwa hayupo madarakani. Kutochukua hatua dhidi ya mambo fulani inaitwa indecisiveness lakini hiyo haimaanishi uhusika wa mtu na inaweza isimaanishe kwamba ni incompetence. Yote kwa yote unahitaji kunishawishi kwa ushahidi tena siyo wa kuunga unga kwamba JK anahusika. Hiyo IPTL na hiyo Songas ulizozirukia hata hujui tatizo ni nini na laiti ungejua undani wake usingekurupuka.
 
Nchimbi MHUNI tu! Anadhani ITIFAKI ni kuingilia nyumba ya mtu bila hodi. Yupo hapo alipo kutokana na uhuni wa kumwingiza madarakani bosi wake, ambaye akitoka JMK, anaanza kutengeneza mazingira ya kuwamo barazani mwaka 2015! Eti siasa za uchaguzi ujao? Hawa watu hawafanyi kazi zao ipasavyo ila wanaangalia jinsi watakavyo savaivu! Kwa manufaa yao binafsi! Hawafai hawa!
 
2015, 2015, 2015! jamani watu tufanye kazi na tujadiliane masula ya kimaendeleo kwa faida ya taifa letu sio kila siku ni rais atatoka kundi gani ndani ya CCM! Gheeeez! Mtashangaa atakaposhinda mgomea binafsi baada ya mabadiliko ya katiba! Hapo sijazungumzia atakae tokana na ppl's pwr!
 
Hizo blanket accusations zako dhidi ya JK bila kuwa na hoja ambazo mimi na watu wa aina yangu zitatubaidilisha msimamo au mtazamo wetu hazikupi heshima na kinyume chake unaonekana ni mtu ambaye anaendeshwa zaidi na chuki . Kila siku tumekuwa tuki-demand tuambiwe uchafu wa JK au hata huyo Membe lakini stori zinazokuja hapa ni kwamba wanajipanga kwa 2015. Wewe ambaye unasema Lowassa na Kikwete ni one and the same ndiye mwenye onus ya kuthibitisha hilo maana matendo ya Lowassa yanafahamika kwa ushahidi na hatujafika hatua ya kumuona hivyo kwa hisia au kwa kukurupuka.

Mimi nimekuambia kwamba sijawahi kuwa CCM wala chama chochote cha siasa and I am happy this way. Lakini siwezi kuingia kwenye fashion ya kudhani kuitukana CCM pasipostahili na kuisifia CDM pasipostahili ni uzalendo. Upumbavu uitwe hivyo unapostahili na hivyo hivyo ustaarabu. Kwa vile wewe unawiwa na allegiance ya chama chako, ndio maana kila wakati unajikuta ni mateka wa kushabikia kila linalofanywa na chama chako na hivyo hivyo kuponda kila linalofanywa na chama pinzani na chako. Grow up man!
I think you should grow up first,cause unaongea pumba,hueleweki ki mtazamo.
 
Nchimbi MHUNI tu! Anadhani ITIFAKI ni kuingilia nyumba ya mtu bila hodi. Yupo hapo alipo kutokana na uhuni wa kumwingiza madarakani bosi wake, ambaye akitoka JMK, anaanza kutengeneza mazingira ya kuwamo barazani mwaka 2015! Eti siasa za uchaguzi ujao? Hawa watu hawafanyi kazi zao ipasavyo ila wanaangalia jinsi watakavyo savaivu! Kwa manufaa yao binafsi! Hawafai hawa!
tena ni WAKUNYONGWA HADI WAFE hao!
 
Mimi si shabiki wa Nchimbi ila si lazima sana kwenda kwenye kaburi la Baba wa Taifa na kuomba ruksa ya familia ili hali yeye ni baba yetu sote. Kamawatanzania tunahaki ya kumtembelea eneo hilo wakati wowote.

Membe alipeleka foreigners pale, na wala hakuangalia kaburi lile mara mbili, anajua madhambi alitoyatenda na kifupi si mtu wa ITIKADI za Ujamaa alikuwa uncomfortable pale!
 
You still young upstairs yes! Haishangazi unapokurupuka na kusema Ballali yuko hai majuu na hata kudai kwamba JK alikuwa ni architect wa mambo yaliyotokea akiwa hayupo madarakani. Kutochukua hatua dhidi ya mambo fulani inaitwa indecisiveness lakini hiyo haimaanishi uhusika wa mtu na inaweza isimaanishe kwamba ni incompetence. Yote kwa yote unahitaji kunishawishi kwa ushahidi tena siyo wa kuunga unga kwamba JK anahusika. Hiyo IPTL na hiyo Songas ulizozirukia hata hujui tatizo ni nini na laiti ungejua undani wake usingekurupuka.

Ushahidi wa kuwa Lowassa ni fisadi uko wapi? mtu mzima?
 
eti naye anataka urais kweli Tanzania imekuwa kapu hata nchimbi naye nasikia hata william ngereja,yupo pia maige wa utalii,,yumo pia Wasira hii hatari sasa
 
Kajamaa kanajiona kamekomaa mara hii? Kiburi hiki kitammaliza kisiasa.

Inanikumbusha kwenye bunge la budget this year wakati wa kujibu hoja ktk wizara alikuwa anajibu kimkato mkato mpaka mbunge wa cdm ole purukwa akampongeza kinafiki ,alisema anampongeza waziri kwa majibu yake mazuri mfano litashulikiwa ,tuko mbioni wizara ipo kwenye mchakato
 
Mtanisamehe wana jamvi najua mnataka kusikia nitasemaje kuhusu hili ila mimi nina list ya watu ambao siwezi wajadili kabisa

1.Nape
2.Nchimbi
3.JK
4.Wassira
5.Lukuvi na wengine wanaongezeka kila siku sasa Msechu etc
mkuu hapo unamaanisha Julius Kambarage au Jakaya Kikwete au who?
 
Wana JF ili tueleweke vema, naomba vifupisho vya majina ya watu viwe Jk=Julius Kambarage, halafu Jakaya Mrisho Kikwete iwe JMK! Huyu Jakaya JK alipandikiziwa na Waandishi wa habari wakati ule wakimjenga kuwa Rais!
 
Back
Top Bottom