Habarini wana tech,
Nina laki 2 ninataka simu kati ya kampuni hizi; Tecno, Huawei, Oppo, Viwa.
Naomba mnitajie simu gani nzuri kwa bei yangu hiyo.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wa kimasihara huu.
Nizame moja kwa moja. Pale mkiwa faragha ni jambo gani la ajabu huwa unahisi unamfanyia baby wako peke yako hakuna mwingine anamfanyia.
Huwa napenda kupiga piga Kalio makofi coz mtoto ana kalio la maaana
Je, kwa wale ambao ubao tunafanyaje hapo mabaharia?
Uzi...
Habari wana Jf Naimani mko powa humu..
Nizame uzini moja kwa moja cjawahi kusex untili young up to now ila naogopa kujiingiza uko japo baby ninaee..
Eti siku nikitaka kupiga show ili afike kileleni nafanyaje?
Coz nataka nichukue kombe la ushindi kwa single mother amshahau baba watoto...
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana nilijiongeza.
Cha kwanza nikaanza kuwauzia maji wateja wangu ambako hela za vocha nikawa sikosi.
Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.