Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,721
Uswahilini utaitwa Marioooo!, umekamatwa masikio, husemi kitu, kwamke hasa ukimtumia mpate maendeleo! lazima umpende kosa ukimpenda ndo hayo majina hapo juu.Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo
Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa.
Naimani mwanamke ana nguvu kubwa kwenye kila mafanikio yako kama utamtumia ipasavyo na akakupenda kweli
Mwanamke akisema aamue kufanya kitu kwenye hii dunia hashikiki iwe biashara ,elimu,n.k ndio maana mababu waliakaataa kuwapeleka shule
Nataka niwape somo vijana kuwa mtumie ulienae kuvuna umilionare sio kuchakata nyapu tu uku unazeeeka utazikwa na boksi
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
ukimuacha apate tu yeye hela hayo majina yatakufanya umkimbie! utafute maskini.
uswahilini mke mpiganaji haolewi, labda ulaya
