Recent content by Pagani Zonda

  1. Pagani Zonda

    JamiiForums Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

    Nifanyeje ili nisiwe naona hizi upumbavu zako? Kila siku huwa unaandika kama vile hufikirii hivi, au kuna mtu amekuibia account yako?
  2. Pagani Zonda

    JamiiForums Nimeamua kuvunja haya mahusiano

    Heri umwambie. Sikuhizi jamiiforums sijui imekuaje aisee
  3. Pagani Zonda

    JamiiForums Series (Special thread)

    Nmeshadownload asante
  4. Pagani Zonda

    JamiiForums Series (Special thread)

    Imeblokiwa pia
  5. Pagani Zonda

    JamiiForums Series (Special thread)

    Unatumia website gani mkuu?
  6. Pagani Zonda

    JamiiForums Series (Special thread)

    Naombeni website nzuri ya kudownloadia series. Natumia 9jarocks ila naona kama vile imekuwa blocked
  7. Pagani Zonda

    JamiiForums Mnawezaje kuwa na Long Distance Relationships?

    Mmebadilu wewe na nani? Acha utoto
  8. Pagani Zonda

    JamiiForums Msaada jinsi ya kuuliza maswali Mahakamani

    Umemchoma hujamchoma?
  9. Pagani Zonda

    JamiiForums Ndoa inapangwa na mwanamke sio mwanaume

    Jichanganyeni. Sikuhizi kuna ma hypocrites wengi sana
  10. Pagani Zonda

    JamiiForums Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

    Kwa mtazamo wako
  11. Pagani Zonda

    JamiiForums Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
Back
Top Bottom