chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 877
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo hapo utasikia akisema eti babe niyako tu nimekutunzia ipo vile vile Kama ulivyoacha utaikuta..weee DHUBUTU......
Muaminiane na mtu ambaye kupiga simu mpaka uanze kulalamika😅!? Kuna uaminifu kweli hapo?Sina hamu na long distance relationship, imefanya nimepoteza mtu niliyekua nampenda sana, wivu na kutoaminiana ni mojawapo ya sababu. Ila mkiamua na kuwa na mipango dhabiti hakika mtadumu vizuri. Mwambie huyo rafikiyo waongee vizuri na babe wake na waaminiane.
yaan mule mule mkuu hujakoseaSikuingine anakuaga mapema analala kumbe tayari mwamba kashafika kwa ajili ya kumkaza...Anajifanya kichwa kinauma kumbe jibaba anaandaliwa mbunye ale bila kero za simu zako [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo Huna helahatr mzee mpaka hapo nilisha inua mikono juuu Hawa viumbe emagine kipind hicho chote nipobali nae Zaid ya miaka miwil me nipo dar ye Yupo mbeya nikawa najitosa mzee baba Safari haziishi kwenda kumeet nae japo kila baada ya miez miwil mitat nakaa nae Kama one week nageuza kumbe nyuma nikisha ondoka anabk muhuni mmoja anamega vzr t
Mkiweka mipango thabiti inawezekana bana, hata nyie wanaume mnaweza kumwambia mtu upo kazini kumbe upo unakaza mbunye nyingine huko. Mimi nilikua naambiwa "niko busy kazini, ntakucheki later" wee kumbe yupo na kazi ya baby mwingineMuaminiane na mtu ambaye kupiga simu mpaka uanze kulalamika😅!? Kuna uaminifu kweli hapo?
Mmebadilu wewe na nani? Acha utotoSikujua kama tumebadili jinsi ya Kuwaita