Recent content by pachambili

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viwanja vya Honey moon Tanzania tu

    kweli huko honeymoon hakuna jipya mi kuna rafiki yangu walienda siku tatu tuu ila siku ya pili bi harusi na bwana harusi wakatundana mpaka wakaita watu kuja kugombelezea
  2. P

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Mbezi beach, bei cheee

    vina hati?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Pacha wanaoshirikiana mwanaume, kazi, gari, kitanda

    wamejitahidi ila ukiangalia vizuri picha zao usoni mpaka shingoni kuna utofauti kama huko hawaoni tofauti yao wangekuja bongo watu wa huku faster tuu wameshatoa tofauti
  4. P

    JamiiForums Tanzania Miss Bibi Bomba memes !

    hahahahaha mimi nimesoma na sitti ila huyu bibi sikumuona daasani labda alikuwa mbele yetu hahahahaha
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miss Bibi Bomba memes !

    hahahahahhaahahaha jamani mnanipa raha maana nimecheka ile mbaya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naomba sana tuijadili picha hii

    na tutuatoka mbali sana kwenda kununua mahindi kwake baada ya muda anafungua kiwanda cha mahindi choma, wauzaji wetu wa mahindi wako palepale
  7. P

    JamiiForums Tanzania Masikini Sitti Mtemvu

    hahahahaha pole my classmate sitti abbas zuberi mtevu hahaha ukiwa na miaka 18 na yule mdogo wako tuliyemuachaga kidato cha tano atakuwa na 10 maana hata yeye alikuwa mzee tuu
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

    hao watoto siyo muhimu hela ya nguo zao peleka kwenye vinywaji
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Miss tanzania awekwa kitimoto na waandishi wa habari

    mi nashindwa kumwelewa huyu classmate wangu nimesoma nae 2006-2007 nsangi Uganda shule Fulani hivi inaitwa Hana mixed tulikuwa pale kidato cha tano hadi cha sita na kipindi kile tulikuwa na miaka 19 wote iweje mpaka leo mwenzangu ya kwake imerudi nyuma mwaka mmoja wakati mi yangu imeongezeka ile...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    loh!yaani arudie mitihani kwa ajili ya kuolewa!! haya makubwa bora nilie amua kuwa single
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    huyu anatafuta nesi
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    nimeanza maisha ya peke yangu
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    hahahahaha asante sana kwa kunichekesha niko wenye foleni ya kumuona doctor nimejikuta nacheka kila mtu kanishangaa
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    asante nimeelewa
Back
Top Bottom