Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

Ndoa itavunjika mda wowote endapo utapatikana na hatia ya kukugushi vigezo vilivyowekwa
 
Nahitaji mke wa kuoa.
VIGEZO:
1) Awe mwenye taaluma ya afya(health professional)

2) Asizidi umri wa miaka 25 pia asiwe chini ya miaka 18

3)Awe na mwili wa kawaida. Wanene kupita kiasi hawana nafasi

4)Kufaulu mtihani wa form four(NECTA) kuanzia daraja C katika masomo ya Biology na Chemistry na daraja D katika Physics ni sifa zitakazo kuongezea nafasi

4)Uwe mchapakazi

5)Uwe mzima kiafya na kiakiri

6)Kama hujatulia(wambeya) hawama nafasi

7) Na sifa zingine za mwanamke kamili

VIGEZO NA MASHARITI KUZINGATIWA

Contacts. kulwamahusi@gmail.com
unachuo cha unesi nini
 
Si nesi wala mtu gani, bali ni mke mwenye kutimiza vigezo tajwa hapo
 
Back
Top Bottom