pachambili
Member
- Aug 10, 2014
- 48
- 16
ha h ha ha ha ha
kweli huko honeymoon hakuna jipya mi kuna rafiki yangu walienda siku tatu tuu ila siku ya pili bi harusi na bwana harusi wakatundana mpaka wakaita watu kuja kugombelezea
ha h ha ha ha ha
kweli huko honeymoon hakuna jipya mi kuna rafiki yangu walienda siku tatu tuu ila siku ya pili bi harusi na bwana harusi wakatundana mpaka wakaita watu kuja kugombelezea
USD 3,500 nyingi sanaa kwa Dar Serena..the .most xpnsiv nahisi ni 2,500 huko znz
yap yap, ila kuna bei ya chini kabsa..... hiv wanakujaga wale wa 1 night stand... $450..... kwan mmeoana ili iweje si mkule maisha hahhahaaahha tumia pesa ww! watu wanalipa hadi ya mwaka mzma, unashangaa mwezYaani Honeymoon mwezi, you mean $ 3500 x 30 = Tshs. 3500 x 30 x 1711.50 = 179,707,500 approx. Tshs. 0.18 billion?
Hiyo bei una uhakika nayoo
ni kubwa au ndogo mkuu
Hahahahaha! Ukweli sana!
Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!