Recent content by P.Limdi Man

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    MATEMA ipo kwenye mji mdogo wa kyela na pia ipo karibu na ufukwe wa ziwa nyasa na kiujumla shule iko powa sana 7bu perfomance yake iko juu sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa mock !! Mtihani wa mock hee

    Mock Mana Yake Ni Mitihani Ya Uwehu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando atunukiwa stashahada Sierra Leone

    acha matusi utakuja upate hukumu mbaya sana kwa mungu wako
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma wilaya ya Kyela-mbeya tukumbukane hapa

    Jamani Kwa Wote Tuliowahi Kusoma Au Mnasoma Shule Za Kyela Hebu Tukumbukane Kupitia Thread Hii Kwa Mimi Naitwa Daudi Nimesoma Shule Ya Nkuyu Na Kwa Sasa Npo Kyela
  5. P

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi yaibuka tena Loliondo

    Viongozi Wawe Makini Katika Masuala Ambayo Yaweza Kuhatarisha Maisha Ya Watu Kama Thread Inavyotueleza
  6. P

    JamiiForums Tanzania ::(samahani nawaomba hapa!!)NAHITAJI SANA HEKIMA NA BUSARA ZENU ..

    acha haraka ya maisha ya kutaka kwenda chuo so cha msingi ni wewe kwenda advance elimu ya form four haina thaman kjana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wizara Ya Elimu Inalioneje Hili?

    Ila kama ni tarehe 14 mwezi wa sita bac necta wanalao jambo wanataka kutufanyia
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dstv wapo juu ya sheria?

    chukua azam tv
  9. P

    JamiiForums Tanzania ::(samahani nawaomba hapa!!)NAHITAJI SANA HEKIMA NA BUSARA ZENU ..

    Tumekupata Kijana lakini cha mcng ujue kwamba dunia haijacmama ila inakwnd mbele kla cku kimaendeleo ko inabd hata wewe uwe sambamba na mabadlko kwa hyo cha mcng pga advance il chuo itakucost kwa baadae mana nadhan kufkia miaka ya mbele elm yetu itahtaj alau mtu uwe umefka 4m6 ko kama elm hyo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Hebu wanajamvi tunene vitu vibaya na vizuri ambavyo raisi wetu amevifanya mpaka sasa.Ila sitaki matusi wanajamvi nawasilisha
  11. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 19 may kikao cha 12 Bunge la bajeti

    Tunaomba Utujuze Kinachojiri Mkuu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha Tano - 2014

    wacha tusubiri man! au co
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    japo ni usumbufu lakn anafksha ujumbe
Back
Top Bottom