Tusubiri matamko ya mawaziri, bila kukemea walimu wataendelea kutuletea vituko mitandaoni. natamani jambo hili lisipandikize misingi ya chuki wala simanzi baina ya walimu, serikali na Jamii.
Mambo haya yapo ki sheria kanuni na utaratibu iweje mnaruhusu upotoshaji na mbaya zaidi habari zinatolewa kiholela kwenye social media kwa nyaraka toka kwa wakuu wa idara baadhi ya Halmashauri. Hivi wao ni akina nani wanaopotosha na kuleta taharuki kwa watumishi wa umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.