Recent content by p.38

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kiusalama kwa wenye nyumba na polisi siku ya uchaguzi

    Jitahidi kuficha upunguani wako,inamaana wewe unataalifa za nchi kuvamiwa na watu kutoka nje kuliko polisi,TISS na jeshi?kama unavyanzo vya habari vya haraka kuliko vyombo vya dola basi tukukamate utusaidie kazi. Kumbuka mdomo uliuponza kichwa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Wataalamu wa I.T/ Mfumo NEC

    Nilitaka nikusaidie kukuelewesha hii mifumo ya teknolojia ya computer za NEC na hofu ya wizi unavyokuja lakini nakuacha hivyohivyo maana unaonekana in mbishi wa asili wewe
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

    Kunywa juice ya ----- maana Edo soon anaingia magogoni hiyo mizizi ya kifisadi inaenda kung'olewa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kumkebehi mtu mwenye ugonjwa umetoka wapi?

    Ukawa mmetuzidi hoja,maono ya taifa lijalo n.k kwa hiyo lazima tuwavuluge kwa mitusi kuwatoa kwenye hoja zenu za kuwafungua watz. Well done uncle Ben,mwigulu na woote team mitusi Kwahisani ya wanaccm
  5. P

    JamiiForums Tanzania CCM imetuongezea mzigo huu

    Mtaji wetu wanaccm ni kundi kubwa la wajinga,wewe unawafumbua macho ili iweje sasa? Kwahisani ya wanaccm
  6. P

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

  7. P

    JamiiForums Tanzania Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

    Waende tu watuachie ccm yetu tutaijenga upya baada ya uchaguzi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kampeni chafu za CCM, tuweni makini na uhalisia wa picha na nyaraka tunazozisoma

    Vijana wa kipara janu hao
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, CCM mmezidiwa upeo na Chadema/UKAWA

    Sahivi ccm tunajamba cheche,tunaishia majungu na kuhonga watu watusaidie gemu ishakuwa ngumu. Kwa hisani ya mwanaccm
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mdahalo na Polepole

    Kuhangaika na mwendawazimu ni kupoteza muda wako tu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni dakika 5 za Lowassa

    Mambo ya kitoto mtoto kumwambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza,lakini mambo ya kitoto mkubwa kumwambia mkubwa mwenzie hapo kuna shida. Hoja za kitoto waambie watoto wenzio tujue mnacheza.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

    Mbona watu mnalalamika eti siasa ndo imetufikisha hali hii sasa tunataka mtendaji,sasa siwaelewi tulipo ni kubaya au kuzuri hadi mlalamike hamtaki mwanasiasa zaidi ya mtendaji. Kama tulipo ni kubaya basi ccm haitufai kwa kuwa ilipewa dhamana miaka 50 na kama ni kuzuri basi magufuri hatufai...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

    Walitugawa kwa udini,ukabila na sasa vitisho vya Libya,Ila ni kawaida kwa jahazi linapozama kujitahidi kujinusuru hata kwa kushika kijiko ukiamini kitakuokoa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

    Urais wa nchi ndiyo wadhifa mkubwa katika Taifa letu. Siasa kwa nijuavyo mimi, ni kitendo cha kuongoza mambo ya watu. Kwa maana hiyo, Rais anapaswa kuwa mwanasiasa mahiri ili kuliongoza taifa na watu wake katika mambo ya ndani ya nchi na yale yahusuyo medani ya kimataifa. Wiki iliyopita...
Back
Top Bottom