Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Nchi kuwa gizan n matokeo ya ule mkataba feki wa Edward ngoyai lowasa
waziri mkuu wa kwanza Tanzania kulazimishwa kujiudhuru kwa ufisadi na ujambazi
ndio unaosababisha nchi iwe gizan mpaka sasa

Lakin mlivyokuwa mazezeta vijana wa bavicha
Yeye huyohuyo ndo mnaemshabikia saiv
Lofa ni lofa tu

Magufuli atalikomesha jambazi liitwalo lowasa na jangili liitwalo sumaye

mkuu si mna ushahidi kua yeye ndio ameleta yote haya? pelekeni mahakamani HIVI KWA JINSI CCM MNAVYOMCHUKIA LOWASSA ALAFU ETI YEYE NDIO KASABABISHA NCHI KUA GIZANI ETI MUMUACHIE HURU ADI MUDA HUU AENDELEE KUWANYIMA USINGIZI haha lete habari nyingine ila sio hii
VIVA UKAWA!!!!
 
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU


Kama hao wote wanamuunga mkono Lowassa,basi Lowassa ndiye Rais wa 5 wa Tanzania....Hata kama mgombea wanayemuunga mkono ni Magufuli,bado Lowassa ndiye Rais ajaye wa Tz,mana huku mtaani tumejipanga kweli.

Anyway, endelea kusambaza umbea mana utumwa ni asili kwa baadhi ya watu...cwez kukutoa kwenye hilo kundi
 
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU

kikura chako kimoja hakiwezi kumzuia lowasa kutinga ikulu, kuanzia tar 26 oct rais wa awamu ya tano atakuwa Edo Lowasa
 
Nafikiria wanaCcm watafute njia nyingine ya kuingia magogoni ila ile njia ya kumchafua Mamvi imeonyesha kushindwa.Mamvi idadi wanaomuunga mkono inazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu kila siku.

Huyo El mchafu tu sasa nan? Anamchafua
 
Iwe kihalali au kiharamu,mwaka huu ni lazima ccm ing'oke.Period
 
Hapa kazi ni kusafirisha TWIGA na kukata umeme masaa 12 bila taarifa.Hii kazi mnaiweza kweli kweli
 
Yaaan nchi yangu Tanzania inagawanwa na haya makina rostam dah

Hivi Tanzania tulimkosea nn rostam hata kutaka kutufilisi nchi yetu kias hiki

Alafu kinachoniuma malofa na wapumbavu wasio wazalendo wanaendelea kushabikia haya mambo pasipokujua lengo la hawa wahaini dah
Kunywa juice ya ----- maana Edo soon anaingia magogoni hiyo mizizi ya kifisadi inaenda kung'olewa
 
Sitawachagua wagombea viti mbalimbali wa ccm maana hakuna la maana watakalo lifanya tofauti na kuwapa wachina gesi kwa sababu ya fidia ya dogo Riz1 ya kukamatwa na madawa na kukwepa kunyongwa.
 
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU

Ccm mtaacha lini propaganda za ki 💩
 
Hatuwezi kuwaruhusu mabepari wachache kutunyonya. Tumeamua!!Kura zote kwa Magufuli.
 
Back
Top Bottom