Kwa hili, CCM mmezidiwa upeo na Chadema/UKAWA

Kwa hili, CCM mmezidiwa upeo na Chadema/UKAWA

H.T.P

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,169
Reaction score
1,298
Mimi kuwa kila ninapolikumbuka hili huwa nacheka tu...yaani CCM na ujanja wao wote lakini wamechezewa faulu na hawakuiona!

Picha iko hivii..UPINZANI hasa Chadema na UKAWA walijua fika kua Lowasa ni msafi, lakini pia walijua dhahiri kwamba Lowasa ni kiungo hatari sana kwa kuwa anapendwa sana watu, kwahiyo walichokifanya ni kutengene mazingira ya kuwafanya CCM wakose ujasiri wa kumpitisha kama mgombea uraisi...unajua walifanyaje?

Walichokifanya ni kuchochea mada ya ufisadi wakizidi kuzonga Lowasa hadi CCM walipofikia hatua ya kumkata kwa kuhofia kwamba labda wakimpitisha wananchi hawatamuamini tena (hofu ya usochokijua)

Sasa walipomkata tu kocha wa upinzani kamnasa...silikilizia mashambulizi wanayopata CCM, hawapumui jamani mpira unachezwa nusu uwanja..sasa kweli kwa hali hii kweli goli la mkono linawezekana?
 
Sahivi ccm tunajamba cheche,tunaishia majungu na kuhonga watu watusaidie gemu ishakuwa ngumu.



Kwa hisani ya mwanaccm
 
Hivi Dr Slaa alikuwa Katibu wa CCM?rejea mada ipo humu Chadema yanunuliwa na Lowassa.

Pamoja na fisadi wenu mnatandikwa saa 4 asubuhi, Huu ni wakati wa kazi tu.Mtaisoma namba.
 
Masonjo bwana
SSM HALI YAO MAHUTUTI UKAWA KUPITIA EDO HAAHAH ANACHEZA STYLE HATARI YA KUNGFUR
ALIONGE RAFIKI YANGU MOJA HAPA NILICHEKA SANA ETI
KAMA ANAANZA KUMBE NDIO ANAMALIZA
KAMA ANAKIMBIA KUMBE NDIO ANAADHIBU
KAMA ANAKWEPA MASWALI KUMBE NDIO ANAJIBU
KAMCHEZO FULANI AMIZING SANA LAZIMA SSM WAKAE
 
hatuchagui mtu maarufu bali kiongozi. kama unamchagua mtu kwa kumpenda mchukue ukanywe naye chai. sijui akili za wapi hizi
H.T.P
 
Last edited by a moderator:
MWAKA HUU KOMBE LINAENDA MONDULI.....hahahahahahahahahahaa!:high5::high5::violin:
 
Alafu lowasa anatukanwa weeeee hajibu kabisa yeye kazi yake ni kuwapiga za uso tu
Alafu sumaye anamjibia kavu kavu yaani ni shida
 
nasubiri walazimishe ushindi kama nape alivosema goli la mkono.
 
Mama Samia
 

Attachments

  • IMG-20150914-WA0010.jpg
    IMG-20150914-WA0010.jpg
    55.1 KB · Views: 782
yani inauma sana kuona kijana anakalia hapa kazi wakati hata iyo kazi hana... kina amka wewe muda wa mabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom