Recent content by ozone layer

  1. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

    Swali langu ni dogo tu, ikawaje huu mkataba uka leak? Maana mikataba ya nchi hii inafichwaga kusiko julikana
  2. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Muuza magari Chris Lukosi awe makini

    Hata Promo hajui,
  3. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Muuza magari Chris Lukosi awe makini

    Narudia chawa upo kazini
  4. ozone layer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuachia namba unitafute halafu unanitafuta tunachati unaniambia una mtu wako

    Mwambie huna madhala na mtu wale yeye aje tu vingine vitajiseti mbeleni, utakion kinakuja kuliwa. Hiyo ni kweli kina mtu anakidinya sasa wakat ukiwa unakipelekea moto ikitokea amepiga simu kiwe huru kuongea kwa vile kilisha kuambia kina mtu
  5. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Putin kuifuta Wagner group

    Majeshi yote ya huko juu legevu tu hasa yakiwa hayana taarifa (inteligensia). Mara ngapi NATO amepigwa hapo Somalia, mara ngapi NATO kapigwa kweli kweli katika vi nchi vidogo alivyoingia.
  6. ozone layer

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Organized Crime(?): Nani wapo nyuma ya Ramla Said Ahmed?

    Picha please, tumuone mmoja wa watu anaeifanya Tanzania kuendelea kuwa Masikini. Dodoma hadi leo barabra za katikati ya Jiji pale mjini ni za vumbi, barabsra za toka mjini kuelekea nane nane hadi Mtumba ni nyembamba sana foleni muda wote tumeshindwa kutanua na kujenga barabara nzuuuri sababu...
  7. ozone layer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu 1. Aolewe 2. Ajengewe nyumba Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
  8. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Hujasema Mkoa uliopo, au nao ni private? Tuma namba inbox nikufanyie interview.
  9. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Wakala wasumbufu wa biashara za watu. Ukiwapa wao hata genge la nyanya kusimamia week moja tu chaliii
  10. ozone layer

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Umekumwagikia kabisa
  11. ozone layer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Swali halijajibiwa popote, nilijua kuna mtu anatoa ushuhuda kwamba anamubatua jini kwa sasa au aliwahi mubatua huko nyuma ndio ingekuwa mwafaka wa story. Miaka ya nyuma nilikuwa nasoma kisa kwenye gazeti kuna jamaa alikuwa anaishi Temeke alikuwa analibatua na akawa amechoka hivyo anatafuta...
  12. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Ni vingi visa, ila nakumbuka mvua ina nyesha asubuhi had jioni na ndani hakuna chakula, mama alinipa mfuko wa sulphate kisha akasema nenda mwembe fulani ukaangue maembe ulete tulalie.. Nimetembea ndani ya mvua, nimekwea ule mwembe kunanyesha, nimevuna maembe robo kiloba kisha nikarejea nyumbani...
  13. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu ulazima wa mwalimu kulipia mchango wa Mwenge

    Kula mtoto wa mchangishaji mkuu
  14. ozone layer

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Na uzuri tunawaona na wanajua tunawaona na kuwajua, wamekomaa tu kuimba myimbo tulizogoma kuzikisikia. JPM for people's heart
Back
Top Bottom