Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,751
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.

Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.

Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.
20230602_200351.jpg
 
Watakuja Wazee wa payroll ya kumchafua mwamba kukitolea povu la kufa mtu.

Ukweli ni kuwa mwamba miaka yake ya uongozi ameitendea haki kubwa sana ilikuwa ni speed ambayo haijawahi kushuhudiwa kabla. Ingawa walioboronga katika vipindi vyao wanapambana sana ili kuhakikisha JPM aonekana hujafanya lolote la maana. Ila ukweli tukiondoa dosari ndogondogo za kibinadamu the man was good katika kutekeleza majukumu yake.
 
Na uzuri tunawaona na wanajua tunawaona na kuwajua, wamekomaa tu kuimba myimbo tulizogoma kuzikisikia.

JPM for people's heart
 
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.

Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.
Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.View attachment 2643855
Ukute ndicho kilimtoa slow slow hapo Nyasa!
 
Hivi kwa Tz hii kinaweza kuzinduliwa kweli?
 
Hiyo picha ya mwandishi imenistua, mkononi nilidhani ameshika nyoka
 
Duh , kweli nabii hakubaliki kwao
 
Back
Top Bottom