Recent content by oyayakaranga

  1. oyayakaranga

    Mjue kwa undani nabii TB Joshua

    Kwa neno gani. Nyinyi mnampima mtumishi kwa vigezo gani ? Kwangu mm ni muhubiri mwenye hila tuu. Mtu anayeuza bangili za baraka, sijui making Mara matunda kwangu mm ni another form of witch craft. Huwa nampima sio nabii tu bali yeyote anayesimama kuhuburi ni jinsi gani anahubiri watu waache...
  2. oyayakaranga

    Mjue kwa undani nabii TB Joshua

    Mkuu unabii sio lazima utumie. Tatizo la manabii wa siku hizi wanatabiri vitu amabvyo havijengi mwili wa kristo. Mfano anatabiri mshindi wa mechi ya mpira wa miguu ss hapo unajiuliza what adds in the Christianity.
  3. oyayakaranga

    Mjue kwa undani nabii TB Joshua

    Mkinitajia baba yake wa kiroho yaani kama aliokoka je ? ilitokana na injili ya nani.
  4. oyayakaranga

    Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

    Mkuu kutokana na posts nareply zako naweza sema unapitia mapito sawa na rafiki yangu mmoja mwenye elimu ya masters. Anafukiria kuolewa sana mpaka anakta tamaa. Binafsi kuna kitu nimeki observe kwako. Kama unania ya kupata mtu humu utapata lakini sio mapema. Hii ni kutokana na michango yako...
  5. oyayakaranga

    Rejoinder: kazi ya ushushu Tanzania vs Matarajio ya jamii...

    Iam curious to know the terrorist koz kulikuwa na taarifa white widow alipita Tz kwenda west gate (eye in the sky the movie pia walidepict hii). Na hili lilitutia dosari hasa baada ya Jihadi John pia kupitia hapa kwenda middle East. Kama ulikuwepo ktk tukio je ulifanikiwa kumuona mshukiwa ?
  6. oyayakaranga

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Hakuna mwanamke anayeweza kumficha mumewe mahusiano mapya. Mumeo atajua au ashajua hisia zako zimebadilika. Hapo anatafuta uthibitisho pengine kuna mtu ashamset kazini akufatilie, au ndo umezidi kumpa stress anaona bora aendelee kulewa, kucheki mpira usiku, au clubs na out na washkaji akisubiri...
  7. oyayakaranga

    Ninalipenda lile tangazo la kwenye mikanda ya ngono!

    Halafu ktk watu ambao ningependa kukutana nao au kuwaona tu hata in 200 meters distance ni ww.
  8. oyayakaranga

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Kati ya watumishi wa Mungu ninao waamini as they live true gospel ni Kakobe, Kulola,Katunzi etc hawa nimewathibitisha hawana mawaa over the years. Lakini wengi wanahubiri injili kwa hila.
  9. oyayakaranga

    "Arusha sio Tanzania"

    Kama ni hivyo nyinyi ni manabii wa wizi mara ngapi kila zuri la Tanzania mwasema lenu
  10. oyayakaranga

    "Arusha sio Tanzania"

    Yaani mTz anaungana na mKenya kuzungumzis ukanda. Kenyans ambao hatujui how many will immigrate baada ya uchaguzi wao mkuu. Shame on any Tanzanian anaejivunia ukanda kuwa ni kitu chema kuliko utaifa wake... shame
  11. oyayakaranga

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Mods huu uzi uwekwe stick kwa maoni yangu. Nimegundua kupitia Uzi huu kuwa kuna watu wengi threads za humu haziwagusi kuchangia koz kuna ID ndo kwanza naziona ktk uzi huu hakika ni very touching. Naendelea kujifunza mengi sana. Asanteni wote na tuendelee kushare experiences zetu.
  12. oyayakaranga

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Mkuu ukimruhusu Yesu atawale maisha yako bangi utaacha.
Back
Top Bottom