Recent content by Oyaaa majomba mwera hao

  1. Oyaaa majomba mwera hao

    Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

    Mimi ni shabiki nguli wa Yanga sc nasema hivi Simba haina mpinzani ndani ya nchi hii, na itaendelea kutawala itakavyo kwa miaka mingi tu. Kwa haya machache niseme tu Congratulations Simba Sc Tanzania for winning VPL.
  2. Oyaaa majomba mwera hao

    Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

    Mimi ni shabiki nguli wa Yanga sc niseme tu ukweli leo Azam fc watatufunga, timu yetu ni mbovu sana kwa sasa ukilinganisha na Azam walivyo.
  3. Oyaaa majomba mwera hao

    Zijue aina kuu 2 za misukule

    Vipi kama chumba kilichowekwa maiti hakina mlango huyo msukule atakaa wapi? NB:CCM ndio misukule nambari wani.
  4. Oyaaa majomba mwera hao

    Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Akisikia hii taarifa atatamani angebaki MBOCHI. Ilisikika Tecno ikiongea.
  5. Oyaaa majomba mwera hao

    Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

    CCM wakisikia jina la Kamanda Lissu matumbo ya kuhara yanawashika kwa woga. Ni wakati sasa wakulimaliza hili JOKA dhalimu.
  6. Oyaaa majomba mwera hao

    Kwa ndoto hii, napata mashaka na umri wangu

    Mapenzi ya baba yapo karibu kutimia.
  7. Oyaaa majomba mwera hao

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Yanga ni Genge la wahalifu.
  8. Oyaaa majomba mwera hao

    Msaada kuhusu visimbuzi(ving'amuzi)

    Tamthilia ulizozitaja hapo juu zinapatikana kupitia DSTV, kwenye kifurushi cha bomba 19,000.Pamoja na Tamthilia nyingine nyingi. Bei ya DSTV full set ni Tsh 99,000 ufundi 20,000. Unapata kifurushi cha Family 29,000 mwezi mmoja bure. Kazi kwako Mkuu Kaluluma
  9. Oyaaa majomba mwera hao

    TANZIA Mchungaji Lyamuya wa KKKT ametutoka

    R I P mchungaji. Changamoto za upumuaji zinamaliza watu.
  10. Oyaaa majomba mwera hao

    Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Panya hawakuacha ushahidi walikula pale palipo na mhuri.
Back
Top Bottom