Siasa sio mbaya sana ila dini kuna watu wanazitumia vibaya. kuna mama nipo nae hapa napoishi yani mpaka akiona Jongoo anakemea, Mende anakemea, hapatani na watu wengi sana.
Ukimpinga kwa chochote anakuita Mtesi, na ikifika usiku anakuweka kwenye maombi ya "vita" yeye anasema (ana kupelekea moto)
Mimi binafsi mambo ya kishirikina nimekutana nayo tangu nikiwa mdogo sana.
Katika yote, kuna tukio la kishirikina lilinipata nikiwa naishi paleTegeta mitaa ya Kwandevu, asee sio poa.
Nilishtuka usingizini usiku mnene na kujikuta kuna mtu kakaa mgongoni kwangu LIVE mimi nikiwa nimelala...
Kwa usichokijua tu ni kwamba Roman Catholic ni utawala kamili wa mwilini na rohoni, kwahiyo kwa hoja ya kwamba viongozi wa kidini wasiingilie mambo ya utawala ujue tu sio kwa dora ya Roma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.