Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,503
- 2,156
Kama wanachama hawa wezi kukemia uhuni ndani ya ccm una dhani wanaweza kuisimamia Serikali? Rais kapuyanga nje na utaratibu wao lakini wanachama wana toa meno tu.
amka utachafua shukaAnguko kubwa moja takatifu liko njiani
Mimi ni mwanachama hai siogopi kwenye hili taifa mbeleKwani wewe huogopi,hivi uanachama wako namba ngapi vile?
NO REFORMS, NO ELECTION.Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Atafute chama chake ccm sio chaa baba yake hadi wanapitishana kimchongo
Bakini Nazo kwani nani anazitaka😅Fomu hazitolewi na hamna mfanyalo
Bakini Nazo kwani nani anazitaka😅
Kutobia ndo ngumu
Majizi ya Ccm na madaraka ni kama fisi na mfupa
Hamaneni kwanza ndio nini wewe kada
Kuandika kwenyewe halijui jinga hili kazi kubwabwaja tu hapa.
Unahisi kuna mtu una mkomoa, ni swala la muda tu,hata gadafi na sadamu hawakujua hatima yao walijiona miungu watu. Endelea kutetea upande wa giza,hesabu ikitimia jina lako litaitwa, na adhabu utatumikia.Na bado
nyie wenyewe kwani fomu mmejaza? si mmejipitisha mpeni fomu sasa ajaze akazunguke kutafuta wadhamini!
Limeshaaaa vimbaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣