Recent content by Oxygen gas

  1. Oxygen gas

    Physics against Geography... A level

    Nini kinafanya hao PGM wasipige A ya Geography?
  2. Oxygen gas

    Physics against Geography... A level

    Wakuu, habari za muda huu na heri ya mwaka mpya 2019. Moja kwa moja tujikite katika mada hii kama inavyosema hapo juu. Masomo tajwa hapo juu ni moja ya masomo yenye ukakasi katika ufaulu. Inasemekana ufaulu wa Geo huwa mkubwa kwa madaraja ya C&D ukilinganisha na madaraja ya A&B ambayo ni...
  3. Oxygen gas

    Ushauri: Fanya starehe zote za duniani kabla ya kuoa na kutulia

    Wakati tunatamani kuachana na Anasa za Dunia na kurejea kwa Muumba wetu, wewe unatushauri ngono tu... Umeandika yote pasipo kutupa negative effects za hii kitu, ivi unatutakia mema kweli? 💤💤💤💤💤💤💤💤
  4. Oxygen gas

    Ni mambo gani ambayo wanawake hawayapendi katika ngono?

    Kweli Mkuu sijui 2019 tunaipokea kwa style gani..
  5. Oxygen gas

    Ni mambo gani ambayo wanawake hawayapendi katika ngono?

    Hahahahah!! Nimefurah kwa maneno yako mubashara🔥
  6. Oxygen gas

    Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

    Raha ya jf thread huwa haipotei,,,,
  7. Oxygen gas

    Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

    Sikukuu gani huwa unaiona ya muhimu katika maisha yako? Except Public holidays??
  8. Oxygen gas

    Ni kipindi gani ulitamani dunia ipasuke uingie

    Siku nilipogundua Demu wangu anamahusiano ya kimapenzi na mtu aliyedai ni Kaka yake..
  9. Oxygen gas

    Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Duuh!! Achana na huyo mwanamke atakuua mapema sana.....
  10. Oxygen gas

    Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

    Mkuu, kwanza pole sana kwa haya uyapitiayo kwa sasa...... Maisha ya kuishi wawili ni maisha yanayoitaji busara na maelewano.. Hadi sasa kutokana na maelezo yako, inathibitisha wazi hakuna muelekeo mzuri kati yako na mkeo... Ninawasiwasi hata mimba aliyoitoa yawezekana haikuwa yako Mkuu. Pili...
  11. Oxygen gas

    Masai waongoza Kwa usafI wa mwili Na malazi Afrika

    Hahahahaha!!!!! Jf noma saaaaaaaaaaaaaaaaaaana
  12. Oxygen gas

    This poem is beyond all relationships

    Daah!! Shairi zuri sana... jf is the better network✔✔,, Big up to you for remaind us the important of good relationship
  13. Oxygen gas

    Mwanamke mzuri huyu hapa

    Kweli Ulimwengu wa sasa kuoa mwanamke asie na hofu ya Mungu ni kujitafutia kifo mapema sana.....
Back
Top Bottom