Recent content by Outlier

  1. Outlier

    JamiiForums Tanzania Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

    tungekuwa kwa michuzi ningesema "wale walee"
  2. Outlier

    JamiiForums Tanzania Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

    Taasisi kama hiyo ipo ni Tanganyika Medical Council, na mahakama zipo vilevile - hivyo ni changamoto kwa wanaoona wamefanyiwa kinyume na haki zao kwenda huko kudai haki itendeke.
  3. Outlier

    JamiiForums Tanzania Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

    issues kama hizi zina sababu kibao. Upande mmoja ni wahudumu wa afya kama alivyosema mdau; wahudumu hawaongei vizuri na wagonjwa na ndugu zao either kuwapa education ama counseling, na kuwaambia nini kinafanyika na kwa nini. Upande mwingine ni wagonjwa na ndugu zao; wako ignorant (inarudi kwa...
  4. Outlier

    JamiiForums Tanzania Kikombe cha Babu Loliondo kinatibu HIV: Ripoti ya Kitaalamu- Muhimbili

    Wengine. Eee wengine huniambia aaa nawashwa nawashwa kwenye futii II Pressure pressure huwa sawia aaa Na malipo bei POWa aaaa USAnii tu kote kote - kwa babu, institute of traditional medicine muhimbili, NIMR, wizara ya afya, kifupi ni Tanzania!!! Mzee Yusuf akuambia nakula maisha silali...
  5. Outlier

    JamiiForums Tanzania Matege kwa mtoto mdogo

    jazba kwa kuwa unadanganya. mi nachukia kweli kweli. eti - ni uongo kabisa huo.
  6. Outlier

    JamiiForums Tanzania Nawezaji kujua kama mtoto ni mrefu au mfupi

    http://www.who.int/childgrowth/standards/cht_lfa_girls_z_0_6.pdf http://www.who.int/childgrowth/standards/cht_lfa_boys_z_0_6.pdf
  7. Outlier

    JamiiForums Tanzania dawa ya unene

    I see, kwa urefu wako na umri uzito wako ni mzuri kabisa- ni kitaalam kuongezeka uzito itakusababisha uwe overweight na overweight ina uhusiano na matatizo Kibao Kama kisukari, magonjwa ya Moyo na cancer. BMI yako, Indicator ya weight for height ni 23.4 na normal ni 18-25! Hao...
  8. Outlier

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ini

    Matatizo ya ini yako ya aina mbalimbali na ushauri wa lishe inategemeana na ugonjwa alionao, stage Yake nk; ni bora kupata ushauri kwa daktari anayemtibu.
  9. Outlier

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwashwa mwilini baada ya kujamiina kunatokana na nini?

    Sioni tatizo la kitaalam linaloweza kusababisha Hali hiyo. Kwanza ana uhAkika Sababu ni hiyo? Kwa haraka mshauri ajaribu Mitindo mingine ya kutiana - kwa mfano Kama anahisi Sababu ni kugusana ngozi kwa ngozi; mwambie apunguze contacts wakati wa mapenzi- doggystyle AMA styles zingine ambazo...
  10. Outlier

    JamiiForums Tanzania dawa ya unene

    Mie kabla ya kukushauri ningependa kujuA baadhi ya vitu ili nifanye evaluation ya kitaalam- kusema size 8 tu haitoshi. Nahitaji kujua umri, urefu na uzito wako kwa sasa.
  11. Outlier

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri

    Nenda hospital kwa Sababu viuvimbe Kama hivyo pembeni maw anus vipo vya aina nyingi, vingine vyapona kwa dawa, vingine kwa operation; utapata ushauri kikishaonwa na daktari
  12. Outlier

    JamiiForums Tanzania Matege kwa mtoto mdogo

    Yeah, Mpeleke kwa daktari. Nawe mchangiaji unayesema it is impossible kupata mtoto mwenye matege ukifuata ushauri wa daktari umetoa wapi hiyo? Acha uzushi wako. Mpaka nchi zilizoendelea hili laweza kutokea - kuna causes nyingi za matege ambazo huwezi kusema zimetokana na uzembe wa mzazi...
  13. Outlier

    JamiiForums Tanzania Tiba ya babu wa Loliondo ya magonjwa sugu ni batili.

    Mie Kama mwanasayansi. "tiba" ya babu Kama mnavyoiita ni uzushi mtupu. Hakuna hata mtu mmoja aliyekuwa Anaumwa kweli amepona. Namsupport aliyeanzisha thread, Kama kweli unaumwa na umeacha dawa utakuja kujuta! Nyie mnaokuja na hoja zenu za Imani Mna matatizo ya kisaikolojia Kama babu yenu wa...
  14. Outlier

    JamiiForums Tanzania Nawezaji kujua kama mtoto ni mrefu au mfupi

    Swali Lako liko tata kidogo; wataka kujua Kama ni mrefu AMA mfupi kwa wakati huu akiwa na miezi mitatu AMA Kama atakuwa mrefu AMA mfupi hapo baadaye akiwa mtu mzima? Kama ni kwa wakati huu; tumia chart za ukuaji wa watoto, chart hizi zinapatikana kwenye card za watoto za clinic ambazo...
Back
Top Bottom