Matege kwa mtoto mdogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matege kwa mtoto mdogo

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichwa Ngumu, Apr 17, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mimi ninamtoto na jirani yangu pia anamtoto mchanga, mtoto wake anaonekana kama anamatege hivi, jee anaweza kumtibu kabla mtoto hajakua; mtoto wake anamiezi minne.
  Karibuni
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Huku duniani ukizaa mtoto ana matege,itabidi ujieleza imekuwaje.Watu wa social services waki laison na docter wako wanaweza chukua custody ya mtoto ukamkosa.Kama unafuata maelekezo ya docter it is impossible kuzaa mtoto mwenye matege
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  anaweza kutibiwa ampeleke hospital kwa ushauri zaidi mapema iwezekanavyo
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nenda hospitali wanawavalishaga viatu maalum kwa muda fulani na wanapona kabisa!
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Mwone doctor specialist wa watoto..
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nitamwambia aende Hospital
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  mpeleke CCBRT.
   
 8. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yeah, Mpeleke kwa daktari.
  Nawe mchangiaji unayesema it is impossible kupata mtoto mwenye matege ukifuata ushauri wa daktari umetoa wapi hiyo? Acha uzushi wako.
  Mpaka nchi zilizoendelea hili laweza kutokea - kuna causes nyingi za matege ambazo huwezi kusema zimetokana na uzembe wa mzazi. Please kuwa na information (hata kwa ku-google) kabla ya kusema.
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Punguza jazba mkuu
   
 10. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jazba kwa kuwa unadanganya. mi nachukia kweli kweli.
  eti
  - ni uongo kabisa huo.
   
 11. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  teee teee teee teee
   
 12. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mdogo wangu alikuwa na matege alivokuwa mdogo but siku zilivokuwa zinaenda miguu ikawa sawa.
   
 13. s

  selemabu Member

  #13
  Jun 14, 2014
  Joined: May 19, 2014
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mm mwenyewe nimezaliwa nina matege lakini kadri siku zinavozidi ndo yanapungua wasengerema et wanasema imposible kum kum
   
 14. Ed n Edd nEddy

  Ed n Edd nEddy JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2014
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 4,456
  Likes Received: 2,657
  Trophy Points: 280
  sina uhakika sana na hili nilisha sikia tabia ya kumsimamisha mtoto akiwa hajafikia hatua hii husababisha hilo tatizo
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kusoma sehemu kwamba upungufu wa vitamin D mwilini ambayo inapatikana kwenye jua la asubuhi inasababisha matege.
   
 16. H

  HASANALIS JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2014
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Atakuwa kama maradona
   
 17. m

  mituni twabona Member

  #17
  Jun 14, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Ndugu yangu miezi mi4 ni michache sana kuanza kuwa worried...itanyooka tu!
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2014
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni kweli kuanza kumsimamisha mtoto kabla mifupa yake ya miguuni haijakomaa vizuri na hasa akiwa overweight inaweza kusababisha matege kwa mtoto!!
   
Loading...