Recent content by Outlaw 005

  1. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Waliofanya mapenzi msikitini Makka wahukumiwa kunyongwa

    Daah!😁🫣wamba wameweka bonge la historia kuwah kutokea😂😶😅
  2. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa ya Vurugu France & Belgium yanafanywa na watu weusi,Ndio maana Wazungu wanakataa uhamiaji wa mwafrika kwao.

    Mbona unatujumlisha wote uwezo wako wewe kufikiri na ustarabu wako ndo mdogo cyo waafrika wote😶🙃
  3. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

    Mtoto anazaliwa na kukulia njombe kwenye baridi Kali inakuwaje mtu mzima kushindwa kupambana nayo🫪🤔
  4. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na 'kesho uje na mzazi' ni kauli gani nyingine ilikupa presha ukiwa shule?

    Ambao hawajajaradia madaftari na wenye madaftari yenye maskio😁😁🫣
  5. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa ukiwa mdogo ila ukubwani ukaja kujua sio kweli?

    Uking'oa jino mrushie kunguru ili liote jingine
  6. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

    Ubaya ni kwamba na wao hawana Imani na ww😁.kaa kimtego😂
  7. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Naichukia sana Simba. Imvenigharimu mara 3 hivi

    Asa mbona unawaeleza watu shida zako😁,kuwa na kifuan mzee!?
  8. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

    Kwan mda wa utapeli ulikuwepo au mgongo mbovu🥱!?
  9. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kila siku daaah
  10. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Muulize masaa mangapi mana anaingia kila siku
  11. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Kodi yenyewe analipa?
  12. Outlaw 005

    JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Anapewa maziwa
Back
Top Bottom