Recent content by Ottoh-Man

  1. O

    Wazazi ni watu wa ajabu sana

    Tangua niwe Jamii forum sijapata kuona thread iliyonisisimu na kuniamsha km hii.Aiseee Mungu akulinde sana ndugu
  2. O

    Ramadhan Special Thread

    Excellent
  3. O

    Maoni yetu kwa Rais Samia Suluhu juu upangaji mpya wa Wakuu wa Mikoa/Wilaya

    Waliokuwepo awabadilishe,na kama anatka aendelee nao kwa baadhi basi awabadilishie vituo vya KAZI,pia ahakikishe halmashaur,wilaya au mkoa asiwekwe MTU mwenye asili ya eneo hili au mzaliwa wa hapo, huwa inawapa shida Sana'a wafanyakazi pia na viongozi wenyewe (sababu ya pressure za ndugu na...
  4. O

    Baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kusema hawatavunja mashine za kujifukiza, Kigwangalla ahoji zaidi...

    Nafikiri wasimjibu wamuacheee aendelleee kupiga domo,tunajua alichokikosa .....
  5. O

    Mama Samia anza kwa kuboresha Baraza la Mawaziri

    We C mtanzania ,nakujua vzr
  6. O

    Vijana na janga la dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Ahaaaaaaaaaaaaaaaa,Kweli hapa ni Kijiwe cha wana jamii mbali×2
  7. O

    Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

    Nimeipenda sana hii,ila ila logic kwa wasio wavivu wa kufikiri
  8. O

    We Bro msafiri ,uliyesafiri miezi 6 sasa, mkeo ana mimba ya miezi 4 ila sio yako

    Umeweza mzee,ila Kuna Code of Conduct na ethics ktk professional yenu/na hata yoyote,Jitahid uzishike kisawasa!KAZI njema
  9. O

    Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

    Aisee poleni sana,muwe na moyo wa subra
  10. O

    Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

    Shida ya mshana ni mwanasiasa ,akiachana na usiasa ni jamaa alive vema sn,na anapenda watu wajue,Habibu Anga(The Bold) ni Best over the best,yeye amebase kutoa kisichofikiriwa na wengi .Big up
  11. O

    Food For Thought: Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka, Tume pamoja na Bodi?

    Kaka mi naona bado hatujapata jibu.Ila hata Mimi nasubili kuigilizia
  12. O

    IGP Simon Sirro umepewa taarifa yaliyotokea Kijiji cha Kimange leo

    Bado sijakupa vema,yaani unamaanisha kwamba hakuna usalama kwa maeneo uliyataja au unakataa!?
Back
Top Bottom