53,600km mara utasikia 42,200km ,mara 67,200km 😂😂😂😂😂 kuna bwana mmoja alinunua Vanguard ya mwaka 2009 kwenye showroom X ,anatamba nayo ati ina 27,000km. Actually ilikuja na 175000km+ wahuni wameishi nayo ye anavimba nayo ati gari yake mpya!!.
Sio kwa ubaya lakini ,Tuamke usingizini 🙆🙆🙆🙆