Kikubwa zaidi kifaamike jambo linapokatazwa mungu basi mwanadamu tambua linamadhara yawezakana usiyapate apo duniani ila kesho akhera ukajuta au duniani ukapata madhara na kesho akhera ukapata madhara makubwa zaidi.
Mie namwoomba rais magufuri chonde chonde awasaidie wananchi wake awo wa mabondeni awape viwanja bure vilivyopimwa pia serikali yake iwasaidie kuwajengea Nyumba za bei nafuu ili wananchi waweze kuendelea na maisha yao kama binadamu wengine.pia mweshimiwa rais unatakiwa kutambua Kuwa awo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.