GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,282
- 2,938
Yalikuwa maigizokwani alimwita mtu au alitangaza kuwa ye anatibu?maradhi yetu na umasikini wetu ndio uliotupeleka kwake,lakini hata hivyo wapo waliopona,
Yalikuwa maigizokwani alimwita mtu au alitangaza kuwa ye anatibu?maradhi yetu na umasikini wetu ndio uliotupeleka kwake,lakini hata hivyo wapo waliopona,
Babu naye ni jipu lafaa kutunbuliwa kabla hajaanza tena kuwatapeli watu kwa new seasonNilimpeleka mama kwa gharama kubwa xna na bado. kisukar kipo palepale.
sikubaliani nawe,nawafahamu watu wa2 ambao wamepona kabisa baada ya kwenda kwa babu,kuna mmoja alikuwa anasumbuliwa na sukari hadi hospitali walimzoea kama nyumbani kwakeYalikuwa maigizo
Duh...........nafuta kauli kwa ushahdi wako.sikubaliani nawe,nawafahamu watu wa2 ambao wamepona kabisa baada ya kwenda kwa babu,kuna mmoja alikuwa anasumbuliwa na sukari hadi hospitali walimzoea kama nyumbani kwake
mhh mbona mtumbuaji mwenyewe alikuwepo na alikunywa kwa kutabasamu kabisa.Babu naye ni jipu lafaa kutunbuliwa kabla hajaanza tena kuwatapeli watu kwa new season
Wee subiri aje na kikombe cha kuacha ulevi usikie serikali na TBL wayakavyo kuja juu!Sijui atakuja na mziki gani this time
ulitiwa njaa boss pole sana anarudi kivingineNikikumbuka hasara aliyonipa huyu mzee cna hata hamu ya kumskia.