othuman mustapha Member Jan 6, 2016 15 3 Mar 2, 2016 #1 Naomba kusaidiwa mwenye elimu ya kilimo cha tikiti IPI miezi mizuri ya kuanza kilimo icho
Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,985 Mar 2, 2016 #2 Mwezi wa 5-10 kutegemea na eneo unapo limia.
realpatriot Senior Member May 28, 2009 116 76 Jul 22, 2016 #4 Naandaa shamba kwa sasa wiki ijayo naweka mbegu shambani..
P Pascal paul Member May 24, 2016 33 8 Jul 22, 2016 #5 Gharama zinategemeana na mahali ulipo kwenye maswala ya mashamba kulima pamoja na system za maji