Recent content by osomatrix

  1. O

    JamiiForums Tanzania Lawama : Tatizo la ajira nchini, nani alaumiwe?

    Ndugu achana nae uyo ana matatizo ya akili utajipa tabu kueleweshana nae........kumuelewesha chizi utajipa kazi
  2. O

    JamiiForums Tanzania Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

    Ndugu nakuonaga unajitaidigi sana kutetea serikali iliyopo madarakani lkn as long as siku zinaenda yatatokea mengi sana na utakosa lakusema it's better some time kukaa kimya sio lazima kila kitu uteteee ata kwa kukejeri
  3. O

    JamiiForums Tanzania Rais ruhusu bunge au rudisha pesa yetu ya kodi wewe kuwa live hata kwenye kufungua hostel

    Kama haukuelewa hoja sio lazima ujibu ndugu....sio kila kitu lazima utoe comment vitu vingine vipo beyond uwelewa wako..siku nyengine kabla aujaingia kichwa kichwa kwenye mjadala wowote elewa kwanza kisha jibu na ukiona aujaelewa basi uliza waliokuzidi uwelewa moja ya kipengele cha kwenye hoja...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nimeigawa MV Dsm kwa JWTZ, wale wanaoiandika andika, wajue wanaandika "mzinga wa JWTZ"

    Wale vijana wa lumumba wanaojua kutetea hoja za mtukufu wako wapi watuweke sawa na kwenye hili au wanashughurikia swala La madawa ya kulevya kwanza
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

    Acha kudharilisha kitabu cha dini kwa ajili ya upuuzi wako wa akili finyu
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mafisadi waliopo Tanzania, tafuteni kazi nyingine au muhame nchi

    Ivi unawezaje kujadili jambo na mtu ambaye yeye sana ana andika (xaaaana ) icho kitu tu kinaonesha uwezo wake finyu wa kufikiri na elimu yake
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kumwelewa mwanamke!

    Hahahahah yani jamaa umeandika bonge La gazeti lisilokua na maana Ata kidogo
  8. O

    JamiiForums Tanzania DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Naona Ata ww umejibu kwa mihemko na wala sio uhalisia
  9. O

    JamiiForums Tanzania The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

    Na wasiwasi sana na uwelewa wa uyu jamaa
Back
Top Bottom