Imeandaliwa na kamanda wa CHADEMA mtiifu, isomwe na wanaharakati wote mitandaoni

Mafunguo 88

Senior Member
Dec 21, 2016
155
184
ISOMWE NA WANAHARAKATI WOTE MITANDAONI

Vijana wa CHADEMA Nguvu ya hoja isiwe nguvu ya kioja.

Katika siasa za Africa za ushindani na kuharibiana kwa vyama, hasa pale kunapokua na chama tawala ambacho hakina ajenda ndani yake ya kuviheshimu vyama vingine, wasio na desturi ya kulinda utu wa wapinzani wao. Vyama ambavyo ni tawala vinavyotumia mbinu ya kuangalia udhaifu wa upinzani kuviharibu vyma pinzani dhidi yake.

Kwasasa mitandao ya kijamii imekua sehemu ya muhimili muhimu wa habari, na habari za mitandaoni husambaa na kuaminiwa zaidi.

Vijana wengi wanaoitumia mitandao kufanya siasa kwa sasa Tanzania ni vijana wa upinzani hasa CHADEMA. vijana wengi wameonyesha uwezo mkubwa wa kuandika makala, kutoa taarifa na kueneza ajenda za msingi zenye kujenga chama na kusaidia kufichua maovu ya kijamii ili kuisaida serikali kutimiza wajibu wake.

LAKINI:-

Kuna tabia ya vijana hao wengi kudhania kwamba kufika mahali kufichua kila udhaifu wa chama chao ndio sifa ama ndio uwezo wa kisiasa kumbe ni upuuzi wa kisiasa, na hii ni sawa na mwanajeshi anaetoka hadharani wakati wa vita na kuandika mambo ya udhaifu na uimara wa jeshi lake. Duniani pote mwanajeshi ataefanya hivyo huukumiwa kwa kosa la Uhaini (treason).

Kijana anakuja mitandaoni wa CHADEMA na kuanza kukifichua chama, kijana anaefanya usnitch mpaka anakua kiongozi ili tu ajue CHADEMA Inawaza nini, kesho anatoka hadharani kuweka mambo na mipango ya CDM nje, hadharani eti anasema hiyo ndio demokrasia, demokrasia gani ya kuangamiza chama chako, huu ni umbumbu wa kisiasa. Ni lini mmewahi ona kijana wa CCM anaandika udhaifu wa mwenyekiti wake mitandaoni, ama anaandika mgogoro wa ndani wa CCM hadharani?? Vijana wa CDM wengi mitandaoni hawana uzalendo na CDM wengi wanaandika wanayohisi wala hayahusiani na ukweli wa CHAMA.

Kijana anaejaribu kujifanya CAG na kuja kuweka wazi mahesabu fake fake ya mapato na matumizi ya chama, na kuwapa kiki CCM na kuidhooficha CDM bado mnamuita KAMANDA, KAMANDA FOR WHAT..NONSENSE. Kijana wa CDM anakalisha bampa na kuandika kumchambua MBOWE mwenyekiti hadharani, kuchonganisha mambo ovyo ovyo na bado anaamini anafanya sahihi. Huu ni unafiki mkubwa, na vijana wengi wa CHADEMA tunakiua chama kwa kujifanya tunahoji chama, kipuuzi. Hatujui maana ya secrecy katika siasa za mapambano.

Hakuna chama kinachofanikiwa sana endapo wafuasi wake wengi wanajifanya wasemaji wa chama, na kutoa siri za CHAMA hadharani.

TUTAWAPINGA KUANZIA SASA VIJANA WOTE WANAOJIITA WANA CHADEMA, WANAOKISHAMBULIA CHAMA NA VIONGOZI WAKE.

CHADEMA ITAKUA HAI, KAMA TUTAKUA NA VIFUA VYA USIRI WA MAMBO YETU.

By Henry Nkya c&p
 
Lakini wakati mwingine viongozi wa juu wanafanya maamuzi ya hovyo hovyo kiasi cha kushusha molari wa vijana.
Mwaka juzi Mbowe kapokea manoti akakiuza chama kwa Lowassa. Je, hili nalo tusihoji?
Majimboni nako vijana wengi wenye ushawishi na uhakika wa kuleta ushindi ktk nyadhifa mbalimbali nafasi zao zilipokwa wakapewa watu wengine kwa vimemo toka makao makuu. Je, kwa haya yote kwanini vijana wasikisaliti chama?
 
Nadahani umeandika sahihi kabisa ....mwanakijiji mwanakijiji lugusi na gabby moshi na wengine ujumbe umefika
 
Lakini wakati mwingine viongozi wa juu wanafanya maamuzi ya hovyo hovyo kiasi cha kushusha molari wa vijana.
Mwaka juzi Mbowe kapokea manoti akakiuza chama kwa Lowassa. Je, hili nalo tusihoji?
Majimboni nako vijana wengi wenye ushawishi na uhakika wa kuleta ushindi ktk nyadhifa mbalimbali nafasi zao zilipokwa wakapewa watu wengine kwa vimemo toka makao makuu. Je, kwa haya yote kwanini vijana wasikisaliti chama?
Leta ushahidi ...usiongee kama unakimbizwa ...Tanzania nchi yetu sote
 
ISOMWE NA WANAHARAKATI WOTE MITANDAONI

Vijana wa CHADEMA Nguvu ya hoja isiwe nguvu ya kioja.

Katika siasa za Africa za ushindani na kuharibiana kwa vyama, hasa pale kunapokua na chama tawala ambacho hakina ajenda ndani yake ya kuviheshimu vyama vingine, wasio na desturi ya kulinda utu wa wapinzani wao. Vyama ambavyo ni tawala vinavyotumia mbinu ya kuangalia udhaifu wa upinzani kuviharibu vyma pinzani dhidi yake.

Kwasasa mitandao ya kijamii imekua sehemu ya muhimili muhimu wa habari, na habari za mitandaoni husambaa na kuaminiwa zaidi.

Vijana wengi wanaoitumia mitandao kufanya siasa kwa sasa Tanzania ni vijana wa upinzani hasa CHADEMA. vijana wengi wameonyesha uwezo mkubwa wa kuandika makala, kutoa taarifa na kueneza ajenda za msingi zenye kujenga chama na kusaidia kufichua maovu ya kijamii ili kuisaida serikali kutimiza wajibu wake.

LAKINI:-

Kuna tabia ya vijana hao wengi kudhania kwamba kufika mahali kufichua kila udhaifu wa chama chao ndio sifa ama ndio uwezo wa kisiasa kumbe ni upuuzi wa kisiasa, na hii ni sawa na mwanajeshi anaetoka hadharani wakati wa vita na kuandika mambo ya udhaifu na uimara wa jeshi lake. Duniani pote mwanajeshi ataefanya hivyo huukumiwa kwa kosa la Uhaini (treason).

Kijana anakuja mitandaoni wa CHADEMA na kuanza kukifichua chama, kijana anaefanya usnitch mpaka anakua kiongozi ili tu ajue CHADEMA Inawaza nini, kesho anatoka hadharani kuweka mambo na mipango ya CDM nje, hadharani eti anasema hiyo ndio demokrasia, demokrasia gani ya kuangamiza chama chako, huu ni umbumbu wa kisiasa. Ni lini mmewahi ona kijana wa CCM anaandika udhaifu wa mwenyekiti wake mitandaoni, ama anaandika mgogoro wa ndani wa CCM hadharani?? Vijana wa CDM wengi mitandaoni hawana uzalendo na CDM wengi wanaandika wanayohisi wala hayahusiani na ukweli wa CHAMA.

Kijana anaejaribu kujifanya CAG na kuja kuweka wazi mahesabu fake fake ya mapato na matumizi ya chama, na kuwapa kiki CCM na kuidhooficha CDM bado mnamuita KAMANDA, KAMANDA FOR WHAT..NONSENSE. Kijana wa CDM anakalisha bampa na kuandika kumchambua MBOWE mwenyekiti hadharani, kuchonganisha mambo ovyo ovyo na bado anaamini anafanya sahihi. Huu ni unafiki mkubwa, na vijana wengi wa CHADEMA tunakiua chama kwa kujifanya tunahoji chama, kipuuzi. Hatujui maana ya secrecy katika siasa za mapambano.

Hakuna chama kinachofanikiwa sana endapo wafuasi wake wengi wanajifanya wasemaji wa chama, na kutoa siri za CHAMA hadharani.

TUTAWAPINGA KUANZIA SASA VIJANA WOTE WANAOJIITA WANA CHADEMA, WANAOKISHAMBULIA CHAMA NA VIONGOZI WAKE.

CHADEMA ITAKUA HAI, KAMA TUTAKUA NA VIFUA VYA USIRI WA MAMBO YETU.

By Henry Nkya c&p
Wewe unataka uovu,ufisadi,wizi,n.k uwe siri ? Kama umetumwa basi umefeli kutushawishi , tutasema kweli hadharani mpaka mafisadi wanyooke !
 
Naona watumwa wa Mwenyekiti mmetolewa Mafichoni

kwanza ulisha lipwa mshahara wa mwezi wa 11 na 12!!?

Yaani Mnatumia 600ml
mna ambulia kata 1
kisha wafanyakazi hawapewi mishahara
unakuja kutetea upuuzi!!

Lazima Waseme
na mpende ukweli
Ruzuku hiyo ni kodi ya watanzania
lazima watanzania wajue inakwenda wapi.

kufananisha Jeshi na upumbavu uache kabisa
 
ISOMWE NA WANAHARAKATI WOTE MITANDAONI

Vijana wa CHADEMA Nguvu ya hoja isiwe nguvu ya kioja.

Katika siasa za Africa za ushindani na kuharibiana kwa vyama, hasa pale kunapokua na chama tawala ambacho hakina ajenda ndani yake ya kuviheshimu vyama vingine, wasio na desturi ya kulinda utu wa wapinzani wao. Vyama ambavyo ni tawala vinavyotumia mbinu ya kuangalia udhaifu wa upinzani kuviharibu vyma pinzani dhidi yake.

Kwasasa mitandao ya kijamii imekua sehemu ya muhimili muhimu wa habari, na habari za mitandaoni husambaa na kuaminiwa zaidi.

Vijana wengi wanaoitumia mitandao kufanya siasa kwa sasa Tanzania ni vijana wa upinzani hasa CHADEMA. vijana wengi wameonyesha uwezo mkubwa wa kuandika makala, kutoa taarifa na kueneza ajenda za msingi zenye kujenga chama na kusaidia kufichua maovu ya kijamii ili kuisaida serikali kutimiza wajibu wake.

LAKINI:-

Kuna tabia ya vijana hao wengi kudhania kwamba kufika mahali kufichua kila udhaifu wa chama chao ndio sifa ama ndio uwezo wa kisiasa kumbe ni upuuzi wa kisiasa, na hii ni sawa na mwanajeshi anaetoka hadharani wakati wa vita na kuandika mambo ya udhaifu na uimara wa jeshi lake. Duniani pote mwanajeshi ataefanya hivyo huukumiwa kwa kosa la Uhaini (treason).

Kijana anakuja mitandaoni wa CHADEMA na kuanza kukifichua chama, kijana anaefanya usnitch mpaka anakua kiongozi ili tu ajue CHADEMA Inawaza nini, kesho anatoka hadharani kuweka mambo na mipango ya CDM nje, hadharani eti anasema hiyo ndio demokrasia, demokrasia gani ya kuangamiza chama chako, huu ni umbumbu wa kisiasa. Ni lini mmewahi ona kijana wa CCM anaandika udhaifu wa mwenyekiti wake mitandaoni, ama anaandika mgogoro wa ndani wa CCM hadharani?? Vijana wa CDM wengi mitandaoni hawana uzalendo na CDM wengi wanaandika wanayohisi wala hayahusiani na ukweli wa CHAMA.

Kijana anaejaribu kujifanya CAG na kuja kuweka wazi mahesabu fake fake ya mapato na matumizi ya chama, na kuwapa kiki CCM na kuidhooficha CDM bado mnamuita KAMANDA, KAMANDA FOR WHAT..NONSENSE. Kijana wa CDM anakalisha bampa na kuandika kumchambua MBOWE mwenyekiti hadharani, kuchonganisha mambo ovyo ovyo na bado anaamini anafanya sahihi. Huu ni unafiki mkubwa, na vijana wengi wa CHADEMA tunakiua chama kwa kujifanya tunahoji chama, kipuuzi. Hatujui maana ya secrecy katika siasa za mapambano.

Hakuna chama kinachofanikiwa sana endapo wafuasi wake wengi wanajifanya wasemaji wa chama, na kutoa siri za CHAMA hadharani.

TUTAWAPINGA KUANZIA SASA VIJANA WOTE WANAOJIITA WANA CHADEMA, WANAOKISHAMBULIA CHAMA NA VIONGOZI WAKE.

CHADEMA ITAKUA HAI, KAMA TUTAKUA NA VIFUA VYA USIRI WA MAMBO YETU.

By Henry Nkya c&p
acha ujinga wewe

unahitaji demokrasia ya kumkosoa magufuli

na hutaki demokrasia ya kumkosoa mbowe
 
Kwaiyo unataka vijana wakae kimya hata kama chama kinaenda mrama ili kulinda siri za chama zenye kuwanufaisha watu wachache ndani ya chama usifanqnishe jeshi na vitu vya kijinga
Jamaa kaja kuosha Tope kwa maji ya chooni
 
ISOMWE NA WANAHARAKATI WOTE MITANDAONI

Vijana wa CHADEMA Nguvu ya hoja isiwe nguvu ya kioja.

Katika siasa za Africa za ushindani na kuharibiana kwa vyama, hasa pale kunapokua na chama tawala ambacho hakina ajenda ndani yake ya kuviheshimu vyama vingine, wasio na desturi ya kulinda utu wa wapinzani wao. Vyama ambavyo ni tawala vinavyotumia mbinu ya kuangalia udhaifu wa upinzani kuviharibu vyma pinzani dhidi yake.

Kwasasa mitandao ya kijamii imekua sehemu ya muhimili muhimu wa habari, na habari za mitandaoni husambaa na kuaminiwa zaidi.

Vijana wengi wanaoitumia mitandao kufanya siasa kwa sasa Tanzania ni vijana wa upinzani hasa CHADEMA. vijana wengi wameonyesha uwezo mkubwa wa kuandika makala, kutoa taarifa na kueneza ajenda za msingi zenye kujenga chama na kusaidia kufichua maovu ya kijamii ili kuisaida serikali kutimiza wajibu wake.

LAKINI:-

Kuna tabia ya vijana hao wengi kudhania kwamba kufika mahali kufichua kila udhaifu wa chama chao ndio sifa ama ndio uwezo wa kisiasa kumbe ni upuuzi wa kisiasa, na hii ni sawa na mwanajeshi anaetoka hadharani wakati wa vita na kuandika mambo ya udhaifu na uimara wa jeshi lake. Duniani pote mwanajeshi ataefanya hivyo huukumiwa kwa kosa la Uhaini (treason).

Kijana anakuja mitandaoni wa CHADEMA na kuanza kukifichua chama, kijana anaefanya usnitch mpaka anakua kiongozi ili tu ajue CHADEMA Inawaza nini, kesho anatoka hadharani kuweka mambo na mipango ya CDM nje, hadharani eti anasema hiyo ndio demokrasia, demokrasia gani ya kuangamiza chama chako, huu ni umbumbu wa kisiasa. Ni lini mmewahi ona kijana wa CCM anaandika udhaifu wa mwenyekiti wake mitandaoni, ama anaandika mgogoro wa ndani wa CCM hadharani?? Vijana wa CDM wengi mitandaoni hawana uzalendo na CDM wengi wanaandika wanayohisi wala hayahusiani na ukweli wa CHAMA.

Kijana anaejaribu kujifanya CAG na kuja kuweka wazi mahesabu fake fake ya mapato na matumizi ya chama, na kuwapa kiki CCM na kuidhooficha CDM bado mnamuita KAMANDA, KAMANDA FOR WHAT..NONSENSE. Kijana wa CDM anakalisha bampa na kuandika kumchambua MBOWE mwenyekiti hadharani, kuchonganisha mambo ovyo ovyo na bado anaamini anafanya sahihi. Huu ni unafiki mkubwa, na vijana wengi wa CHADEMA tunakiua chama kwa kujifanya tunahoji chama, kipuuzi. Hatujui maana ya secrecy katika siasa za mapambano.

Hakuna chama kinachofanikiwa sana endapo wafuasi wake wengi wanajifanya wasemaji wa chama, na kutoa siri za CHAMA hadharani.

TUTAWAPINGA KUANZIA SASA VIJANA WOTE WANAOJIITA WANA CHADEMA, WANAOKISHAMBULIA CHAMA NA VIONGOZI WAKE.

CHADEMA ITAKUA HAI, KAMA TUTAKUA NA VIFUA VYA USIRI WA MAMBO YETU.

By Henry Nkya c&p
Well said
 
We kweli unaumwa yaani ....

Tufiche ufisadi wa Lowassa.......

Wafia chama mna Kazi sana na nitaendelea kuwasema mafisadi wote ndani ya chadema mpaka yakimbie yaache chama .......

Chama ni muhimu kuliko Mtu tena mtu mwizi..........
 
8656b88e34070fae37b9fb50d747af29.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom