Recent content by Osmokalu

  1. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Uwekeze au ujenge Nyumba ya kupangisha?

    Mtazamo wangu mimi,nyumba ya kupangisha inafaa zaidi kwasabu,miji inakua hivyo lakitano ya nyumba kwa mwezi,ndani ya miaka 2 lazima iongezeke,hivyo inapanda thamani kila uchao
  2. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BETPAWA cod FPPD4DI
  3. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BET PAWA DRB366Q
  4. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Hon.Dr John Magufuli. Yah; Ufisadi wa kutisha kiwanda cha karatasi Mgololo (SPM)

    Jamani hivi imefikia wapi hili swala,maana hata mheshimiwa raisi Mama Samia,analijua hili,mlioko juu na mnaweza kupenyeza ujumbe kwa mheshimiwa raisi tusaidieni watu wanazidi kupungua kwa vifo,ili hali bado hawajapata stahiki zao
  5. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bacelona ****
  6. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    8AC6293 bet powey
  7. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Alooo si mchezo UKIMWI ni hatari,nimekaa miaka 6 Njombe ila niliyo yaona kuhusu gonjwa hili ni shidaaa,maaneo ya lutilage,chaugingi,mlevela,kibena shule,nzengelendete,lupembe daaa nashkuru niliondoka
  8. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Za asubuhi wadau,vipi jama mbona betway sioni wadau wekeni kodi zake kama zipo
  9. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Inaweza ikawa ni moja ya sababu,ila nawengine watachangia sababu nyinginezo,mimi nilikua na tatizo hilo ila baada ya kukata kilimi niko fresh kabisa
  10. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Y Yaaaa
  11. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Atakua na kimeo kikubwa fanya jitihada kikakatwe
  12. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namie naweza mpata anae nitafuta,ngoja niweke kambi hapa
  13. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una bahati wewe ni mwanaume wangu wa kwanza, ila tungekuwa tumeshaachana

    Kashakwambia sababu we ni mwanaume wake wa kwanza,elewa kunamwingine hapo.Chapa lapa dogo
  14. Osmokalu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Wewe oa tu hao wenye elimu,sie tunawashikisha meza tu maofisini na vyooni kiulaini tu
  15. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

    Daaaa yani nyie jamaaa sina hamu kabisa na nyie,hawa wafukuzwe hata huko uraiani waliko
Back
Top Bottom