Recent content by osiligi2018

  1. O

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

    cha Arusha kipewe kibali maalum la sivyo 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    basi sawa nikiandika ntakukwaza am double sure ila soma tena comment yako,,,, jitafakari wewe ndo uwe mama wa mtoto wa kike au hapoo ulipo tuanze kusema wanao wakapimwe dna!!!!!! utajisikiaje ???mkuki usiwe tuu kwa ngurume jaman
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    sawa kabisa kuna nadharia pia ya mzazi kuridhika na matunzo au uangalizi atakaopewa binti pindi atakapojifungua since n uzazi wa kwanza maanake kila kitu ni kipya kwake ,,,,,,,,ndo maana wazazi wa mtoto wa kike hutamani sana uzazi wa kwanza wamtunze wenyewe,,,,alaf pia mkuu ukiona kuna siasa...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    watu wanashindwa kuelewa kuwa mahusiano hayako kama tunavyodhani wala nadharia tunazoziona mitandaoni au kwenye maisha ya majirani au ndugu kuna nyumba alaf kuna chumban humu ndimo kuna ukweli ambao n wachache sana huusema wakiamua kuyatoa nje wengi huficha ficha na kujisuuza wao ili wenzao...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    kivip mkuu hapoo sijakuelewa
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    duuuuu samahani lakin wewe n mama kweli ???yaan mama kweli au :mad: :mad: :mad: :mad: :mad:
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    sawa kiitifaki lakini me nimeona makabila kama waluguru huwa wanafanya hivyo
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    watu wanapenda sana kuconclude na one side story,,,,,,,maswali ni mengi ya kujiuuliza hivi kwelii mwanamke akukebee mimba alaf akatae kwenda kutambulishwa!!!!!!kwa upande wa kutoka hospital unazijua mila za kwao,,,,,,,maana kuna makabila mengine uzazi wa kwanza lazima aende kwao ,,,,,,wakati...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

    one side story,,,,,,,,,,inawezekana umeficha vingi
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanzi cha mwisho

    shukrani mkuu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mada vipande: Kilichomponza Kigwangala ni starehe na kula bata, kitakachomponza Simbachawene ni kuvaa viatu over size

    hivi inakuaje mpka mtu anapewa kiatu kikubwa ndumba ,pambio au basi tu 🤔 🤔 🤔 kanyaga twende
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola malizia honey moon uanze kazi

    jamani kwa mfanohuyuu ndo mr wake mtu au babako 🏃‍♂️ 🏃‍♂️🏃‍♂️aiseee
  14. O

    JamiiForums Tanzania Madaktari Mt. Meru Arusha wala njama kumuua mgonjwa

    hapana akipona ndo msala zaid
Back
Top Bottom