Recent content by Osaba

  1. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Hawa jamaa ukiwapigia simu hawapokei kbs
  2. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Audio player nzuri kwa simu za Android

    Power amp kiboko sema unalipia ten
  3. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu AC je ni kweli zinanyonya umeme hadi unit 35 kwa siku?

    Nazungumzia AC ya kawaida yenye btu 12000 kwa masaa 10 unatumia unit 6 hadi 8 na zile AC za inverter unatumia unit 4 hadi 6 kwa masaa 10, nasema kwa uzoefu wangu, so kama unalipa bili ya sh 50,000 kwa mwezi ongeza 30,000 kwa ajili ya AC
  4. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TTCL Internet Router

    Wee lipia tu ziko poa sana hazikwami kwami kama za wengine, ila siku wakija kufunga pika pilau ufanye Sherehe kabisa maana mimi nilisumbuana nao mwaka mmoja ndio wakaja wiki iliyopita
  5. Osaba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Usalama upo mkubwa sana sababu ni ya serikali, kuna mifuko mingi ya kuwekeza ndani ya UTT ila nakushauri wekeza mfuko wa Liquid kwani kwa mwaka ni asilimia 12 na huwa inazidi hadi 14 na unaweza kutoa pesa zako within 3 days of work, au unaweza ukawa unatoa kila mwezi ile faida yako inayozidi...
  6. Osaba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Kama una kiswaswadu bofya *150*82# itakupa maelezo yote ya kujiunga pamoja na kuchangia
  7. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    TCL ni mnyama sana
  8. Osaba

    JamiiForums Tanzania Nichukue IST au Belta?

    Belta ziko chache itakusumbua vifaa vyake
  9. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Sony zamani siku hizi wanalipua tu muziki ni JBL na BOSE
  10. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Mkuu android original zinaanzia laki 5 hadi milioni 5 hiyo ni bei ya China
  11. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nichukue Soundbar au home theatre ya kampuni gani?

    Tafuta JBL au BOSE ila bei zimechangamka sana, unapata pure bass na live sound ya maana
  12. Osaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Nenda Manzese Argentina karibu na kituo cha mwendokasi kuna fundi anaitwa kapelo ni mtaalam sana wa hizo android
  13. Osaba

    JamiiForums Tanzania Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Btu 18000 ni kubwa sana kwa chumba cha kulala sijui ukubwa wa chumba chako, nimefunga ya btu 12000 na ni non inverter naona iko poa sana, ukifunga elekeza kitanda chako kilipo inakuwa inapuliza vizuri
  14. Osaba

    JamiiForums Tanzania 'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

    NIVA ndio Lada
  15. Osaba

    JamiiForums Tanzania Probox au IST nivute ipi ?

    Chukua probox land cruiser ya chini
Back
Top Bottom