TTCL Internet Router

TTCL Internet Router

Aisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
Wee lipia tu ziko poa sana hazikwami kwami kama za wengine, ila siku wakija kufunga pika pilau ufanye Sherehe kabisa maana mimi nilisumbuana nao mwaka mmoja ndio wakaja wiki iliyopita
 
Wee lipia tu ziko poa sana hazikwami kwami kama za wengine, ila siku wakija kufunga pika pilau ufanye Sherehe kabisa maana mimi nilisumbuana nao mwaka mmoja ndio wakaja wiki iliyopita
Aisee mm hata sijawaomba, wameniletea wenyew na wameniekea bure mm kazi yangu ni kulipia tu.
 
Kupanga ni kuchagua amua uendelee kununua Gb1 kwa 2100 au uje huku kwetu ni 1000 tu

‼️Bei zimeshuka pata‼️
HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 5,000
Gb6 kwa 6000
Gb8 kwa 8,000
Gb10 kwa 9,000
Gb11 kwa 10,000
Gb18 kwa 15,000
Gb25 kwa 20000
Na Kuendelea
0618370992
 
Back
Top Bottom