Na kwenye zile ishu za masihara ni kitanda Cha 4* 6Probox kama una mishe za kubeba mizigo.. Ila kama kutamba nayo mjini IST
Kwenye ishu ya mizigo, chukua ist, utabeba iliyoenda shule.Wataalamu wa hapa nataka kuchua probox 2013 au ist 2006 japo mezani imezi zaidi upande wa probox sababu ua ukubwa na uwezo wa kubeba mzigo, nitakuwa sawa au? Ina changamoto gani ambazo common nijiandae?
Msome tena.Mizigo ya kiporipori ndio ipi hiyo? IST inaweza beba mzigo ya uzito gani? Probox nimesoma mpa 350kg
Msome tena.
Hazungumzii mizigo ya viazi au mahindi hapo.Mara ngapi tena? Hebu fafanue wewe ! Kasema models zote zina beba mzigo ila pro box ya “kiporipori” sasa hiyo mzigo ya kiporipori ndio ipi? Pia ishu sio mizigo tuu, pia ugumu wake, nguvu, matatizo yake .. kuna gari likizingua sehemu kurudi kama kawaida inakuwa tatizo
Wahuni probox wanaipiga tani 1.8Mizigo ya kiporipori ndio ipi hiyo? IST inaweza beba mzigo ya uzito gani? Probox nimesoma mpa 350kg
Mzigo=demuMara ngapi tena? Hebu fafanue wewe ! Kasema models zote zina beba mzigo ila pro box ya “kiporipori” sasa hiyo mzigo ya kiporipori ndio ipi? Pia ishu sio mizigo tuu, pia ugumu wake, nguvu, matatizo yake .. kuna gari likizingua sehemu kurudi kama kawaida inakuwa tatizo
Jamaa kashindwa kung'amua lugha za vijana😄😄😄😄😄Hazungumzii mizigo ya viazi au mahindi hapo.
kama ndo hivyo achukue noah au alphard guest inayotembeaMzigo=demu