Ajira zimetoka na DMO Wa halimadhauri washapewa taarifa za kupokea watumishi hao ,, kuna halimashauri wamepangwa watumishi 15 watakao sambazwa kwenye halimashauri iyo,,
Muda wowote taarifa zitakua public
Umezuuuunga lkn naona mawazo yako yamekaaa kidini saana lakni tambua kua hayo mateso wanayopata wafanyakazi hapa Tanzania huwezi hata kidogo kuyalinganisha na iyo maada ulojadili,,
Hapa Tanzania uliwahikusikia mfanyakazi Wa ndani kauliwa?
AF suala LA dini mi naamini wanaenda huko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.