Hivi unaweza kupata ufadhili wa AMREF kwa kozi ya nursing kwenye chuo cha private?

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Habari zenu wakubwa nimekuwa nikiona Mara nyingi amref amekuwa wakitoa ufadhili wa masomo kwa certificate of nursing je ? Naweza kupata ufadhili nikichagua vyuo vya private au wanatoa serikali tu ?
 
Back
Top Bottom