Recent content by ora

  1. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    40D Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ora

    JamiiForums Tanzania DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

    Mkibanwa mnapiga kelele, haya zai wa watu kaamua haya mmewangu oa kuliko mchepuko... basi mnapiga kelele.... Da zai ruhusu ata wake wa nne itapendeza zaidi
  3. ora

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Hivi mkuu ulishiaga wapi
  4. ora

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

    Mkuu ukishafungua wafanyakazi tupo,utukumbuke
  5. ora

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

    sawa sawa
  6. ora

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

    Hapana siuzi
  7. ora

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

    sawa mkuu
  8. ora

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

    website ipi
  9. ora

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu yangu ya Huawei G7

    Habari wapendwa.... Simu yangu ya Huawei G7 inatatizo week sasa, haiwaki ukichaji inawasha Sensor tu kuashiria inachaji lakini ukiiwasha inaandika tu huawei ascend inakaa hivyo hivyo mpaka chaji iishe ndio inajizima. wakuu kwa anayefahamu nipeni japo mwangaza nijue pa kuanzia
  10. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    hapana situmii
  11. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    niko Dsm
  12. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    Tatizo maumivu mkuu
  13. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    23 yote yanajaa hapana hayatoi maji wala chochote yana ulaini wa kawaida hayatoi vinundu yanajaaga zaidi nikijaribia period, nikiingia hayapungui sana yani yanapungua kidogo uzito
  14. ora

    JamiiForums Tanzania Kupunguza matiti

    ndio nini?
  15. ora

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo nani kawaroga?

    mimi ndio maana nasikilizaga Ujaulamba. maana bongo foreva siwaelewi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom