Natafuta kazi yoyote

ngoja na mimi niwekeze kwenye kilimo kwakweli, na mji nahama soon
Mmm dada usithubutu kama hujajipanga.. Kilimo kinatak subira na pesa ya kutosha maana kama unaanz unakuw mkulima mdogo na unategemea zaid Hali ya hewa, kama unavyojua hali ya hew ya Tz haielewek kwa kwel so jipange kwanza usifanye kwa kuw tumesema kilimo kwa Kwanza..
Fany endapo unahisi upo tayari na una pesa ya kujitoshereza
 
amna nahamia masasi kwa mama zangu kuishi kabisa ,
mambo mengine ntanifunza huko huko..
 
Duuh halafu wa Mbagala mwenzangu huyu .. Kuna Mzee anafungua Duka la Vinywaji vya jumla kule mitaa ya Ilala ntaulizia kama anahitaj mtu wa kusimamia then ntakupa Shavu dadaake by tomorrow..
Hivi mkuu ulishiaga wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom