Recent content by oooh

  1. O

    East African presidents to meet in Tanzania on stopping importation of used cars, clothes

    Watakuwa wanakurupuka wakizuia mitumba, kwa viwanda vipi tulivyonavyo vya kuzalisha nguo?
  2. O

    Msaada: Biashara ya vifuniko vya asali inahatarisha ndoa yangu

    Chupi za kike ndio vifuniko vya asali
  3. O

    Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

    Heheheeh 2050 in 2016 watu wapo vzuri
  4. O

    Nimekuta SMS za kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu

    Text za rafiki yake kwani rafiki yake ana cmu? Na wakati amempigia rafiki yake alimpigia au waliongea na radio call? Zinduka khah.. Eboo.
  5. O

    Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    Viva ukawa let us meet in october! Tunza kadi yako wallah lazima tuwakate ccm,
  6. O

    Nahitaji mbinu za kumuondoa huyu mgeni, ni mwezi sasa haondoki

    Tumia mbinu yakusafiri kikazi wewe pamoja na mke wako safari itakuwa nnje ya nchi, arudi kijijin mtawasiliana pindi utakaporudi.
  7. O

    Makosa makubwa ya kiufundi ya 'Kampeni' za Magufuli

    Mi naomba tuwashukuru kwa jambo moja peke,yake nalo ni kwa kuwapa mgombea wa upizan ambaye anakubalika bila hata ya kuongea EL,
  8. O

    Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    Aisee acha kuongea ujinga!! Una utafiti uliofanya usiongee mambo ambayo yanausisha utafiti! Ccm mnapumzika imetosha, kutowachagua nyie tutaokoa ata maisha ya wanyama wetu, kama tembo simba na nk.
  9. O

    Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako si huku kwenye watu wenye chachu na mabadiliko ya nchi, viva lowasa, viva ukawa, yec we can! Tukutane oct 25.
  10. O

    Oili chafu karibu itanokisha engine!

    Jamani wakati wa kufanya maamuzi ni sasa ivi ni kiasi gani tumeumizwa na serekali iliyopo madarakani, maisha yamekuwa magumu garama za kila kitu cha muhimu kuanzia matibabu, elimu, vyakula, mafuta, umeme zinapanda kila kukicha, wanyama wetu wanauliwa kila saa, rasilimali za nchi kama madini,gesi...
  11. O

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Lipumba ameshazoea kuwa mpinzani amejotoa ili abaki kuwa mpinzani kwa sababu ukawa wanachukua nchi 25, so ana wasi wasi na anaogopa ushindi wa ukawa
  12. O

    Naweza kumuoa huyu?

    Mwanaume msimamo, uyo tayari ni mke wa mtu kwa sababu ana mtoto na mwanaume aliyezaa naye yupo na kisheria anatambulika, ukishiriki kwa namna yoyote kuvunja uhusiano wao wa kulaumiwa utakuwa ni ww na nimakosa kumrudia baki njia kuu japo yeye alishatoka!
  13. O

    Wanaume acheni kulalamika

    Papuchi muhimu kwa sababu muda wote ipo but pesa smtime inakuwa hakuna so papuchi aina haja ya kubaniwa!
  14. O

    mdada ambaye ni bosi wangu ananitaka kimapenzi,nifanyeje?

    Unacheza na kazi, boss he/she always right!
Back
Top Bottom