Naweza kumuoa huyu?

Naweza kumuoa huyu?

Naona hata ukihamishwa kwenda bukoba bado utaendelea kutoka na mke wa mtu ambaye alikuwa mchumba wako hapo awali.

yaani ilikuwa imeshafikia hatua ya kumchukua na kwenda kumficha asee ila MUNGU NI MWEMA kanifumbua ubongo
 
kaka wew wasema... ivi mtu anakutamkia "mm nazuga tu pale simpendi na kwanza huwa silali nae" na anakuonyesha meseji za mume wake akililia apewe mambo walau siku moja kwa wik na anakataliwa si utaamini$!? halafu anapewa sheria ya kutumia kondomu bila kondomu hapati na wew unatumia unavyotaka mtoto anajishughulisha zaidi ya uwezo wake si utapagawa? hiv vitu anko ni vya kuacha tu... ila ninakushukuru kwa ushauri

Sema mkuu..ww una roho ya uruma kwa hawa wadudu!! hata iweje nagonga namuacha...why ajaeshimu hisia zako mwanzo mkuu.....kimbiza huyoo..... utamsamehe then akikuzoea tena baba wa mtoto atakuwa anapiga tu
 
kwel kaka hakuna tena nafasi yake kwa kwel... yaani sitaki tena uzuri wake apeleke hukohuko nitapata tu mwingine wa kumpetpet
 
Ahsante sana brother hizi experience ndio nilikuwa nazitaka... kuna kipindi alikuja nyumbani akachukua simu yangu lakn akakuta kuna mesej za mpenz wangu mwingine ambaye kiujumla simpend kivile na ofcourse yuko mbali akawa amekasirika sana akawa kachukuwa zile namba baadae yule msichana akanipigia anasema kamtukana sana, nikamuulza kwa nin umemtukana mtoto wa watu akasema eti mim siwez kuwa namcheat huku anaona na akatamka waz kwamba atamfamya vibaya huyo msichana sasa cha ajabu nikimwambia lkn wew . si mke wa mtu anasema "nani alikuambia mim nimeolewa" yaani ilikuwa inasikitisha mpaka sasa alikuwa ana uwezo wa kunipigia cm usiku sasa sijui ana madawa yaan dah kaz ninayo.

Hapana hana madawa ila ww unasumbuliwa na kivuli cha mapenzi mazito yaliyo juu yake enzi hizo....ukweli ni kuwa huyo ni mtu wakuangalia fursa na hajali mwingine anaumia vipi...
Achana nae
 
Huyo demu anakutaka kwa sababu kasikia una kazi, na keshakusoma kuwa ww ni boya wa mapenzi ukimuoa anaweza akakuletea na ukimwi juu.

Cha kufanya :-
Mimi ni mwanaume i know how it feels like when a man loves a woman. Chukua maamuzi magumu na unaweza fanya kati ya haya, so waweza chagua moja

1)Mwite kwenye ghetto lako mkiwa private na umle tigo ikiwezekana muitie na vijana wahuni wengine kama 8 hivi wote wamle tigo (watumie kinga) hlf baada ya hapo mfukuze kama mbwa koko.

2)Mpotezee endelea na life lako bujaganoni
 
Last edited by a moderator:
mke wa mtu,ashazaa kwa nini umng'anganie?achana naye
 
Unatafuta kiki ushuzi......

Usiniletee stress za maisha yako kutaka kujifanya unanijua.....

Hapa umechemsha.........

"Hakuna asiyekujua hapa jf"

Really? Kichwa chako kinahitaji tiba...

Goodnight

Hahahahha...eti kiki, ndio nini hiyo?

Wewe ndio una stress tena nyingi sana Mrs perfect, we unafikiri hakuna asiyekujua humu ndani...you just pretending your life , ask yourself my dia what happened to you this week yaani mpaka hicho utaki kujishangaa kwamba unateketea..

Every body is sick especially Wewe tena tiba unayoitaji ni kubwa sana sema ujijui hata chizi anayeokota makopo anaamini yupo perfect kama wewe..take it my Dia..

Usiku wangu hauwezi kuwa mzuri kutoka kwako
 
Milembe inakuhusu........
Na ignore list inakuhusu

Katafute wakumshobokea sio mimi

Ulivyo na matatizo ya maisha ndio unadhani kila mtu anayo kama yako

Hao wanaonijua hawana id????
Kweli chizi sio lazima avue nguo.
Kitendo cha kudhani unawajua watu wa humu na kujifanya ni msemaji wao ni uchizi wa kutosha....

Rest in ignore list

Ndio nakuoeleka ignore list lama ifuatavyo...

Ukatafute kiki ushuzi huko mbele

Labda utakuta makopo uokote.....maana ndipo unakoelekea
 
Mwanaume msimamo, uyo tayari ni mke wa mtu kwa sababu ana mtoto na mwanaume aliyezaa naye yupo na kisheria anatambulika, ukishiriki kwa namna yoyote kuvunja uhusiano wao wa kulaumiwa utakuwa ni ww na nimakosa kumrudia baki njia kuu japo yeye alishatoka!
 
Wewe na huyo jamaa mwingine wote ni michepuko yake tu. Mume bado hajafanikiwa kumpata.
 
Milembe inakuhusu........
Na ignore list inakuhusu

Katafute wakumshobokea sio mimi

Ulivyo na matatizo ya maisha ndio unadhani kila mtu anayo kama yako

Hao wanaonijua hawana id????
Kweli chizi sio lazima avue nguo.
Kitendo cha kudhani unawajua watu wa humu na kujifanya ni msemaji wao ni uchizi wa kutosha....

Rest in ignore list

Ndio nakuoeleka ignore list lama ifuatavyo...

Ukatafute kiki ushuzi huko mbele

Labda utakuta makopo uokote.....maana ndipo unakoelekea

Eehh ushuzi tena..kwani we ujambagi..hahahahah

Mie nakujua tu hata iweje sasa mbona unakimbilia Polisi..

Eti chizii..mwanamke aibu uone basi kujitia tia tu
 
Nimekuweka ignore listi sitaki kukimbizana na chizi

Ni mtu asiye na akili timamu tu anayeweza kudhani anawajua watu ambao hajawahi kukutana nao hapa jf

Ni mtu asiye na akili timamu tu anayerukia watu asowajua na kutaka kujifanya anawajua na kutaka kuwapangia cha kuongea

Na mitandaoni wamejaa watu wengi tofauti wenye matatizo tofauti ya akili wanatafuta pa kuyatolea ili wapate kiki ushuzi kama unazotafuta

Huwezi kunipangia cha kuongea wala cha kuwaza

Hunijui sikujui

Kakojoe ukalale kesho utafute mwingine wa kumshobokea....hapa shobo zimebaunsi

Kwanza komenti zako zenyewe ni kichefuchefu tu... tafuta wa kumfia hapa hupati kiki

Eehh ushuzi tena..kwani we ujambagi..hahahahah

Mie nakujua tu hata iweje sasa mbona unakimbilia Polisi..

Eti chizii..mwanamke aibu uone basi kujitia tia tu
 
Kumbe kuna watu waji.nga kiasi hiki. Yan mwanamke keshaolewa keshazaa wa nini tena!!! mbona wanawake wako wengi sana mjini humu mkuu.
Mbaya zaidi alikuwa nae kabla hajaolewa, kilichomtoa ni nini na kinachomrudisha ni nini au alisahau nini mpaka atake kurudi? Usii entatain coz alikuoana wa nini we mwone wa kazi gani.
 
Ahsante sana brother hizi experience ndio nilikuwa nazitaka... kuna kipindi alikuja nyumbani akachukua simu yangu lakn akakuta kuna mesej za mpenz wangu mwingine ambaye kiujumla simpend kivile na ofcourse yuko mbali akawa amekasirika sana akawa kachukuwa zile namba baadae yule msichana akanipigia anasema kamtukana sana, nikamuulza kwa nin umemtukana mtoto wa watu akasema eti mim siwez kuwa namcheat huku anaona na akatamka waz kwamba atamfamya vibaya huyo msichana sasa cha ajabu nikimwambia lkn wew . si mke wa mtu anasema "nani alikuambia mim nimeolewa" yaani ilikuwa inasikitisha mpaka sasa alikuwa ana uwezo wa kunipigia cm usiku sasa sijui ana madawa yaan dah kaz ninayo.

dah! Unanisikitisha sana mkuu!
Hivi ni nini hasa kimekukumba?
Yaan mke wa mtu tena aliyekusaliti anakuendesha hivyo?

Unatudhalilisha wanaume wenzako mkuu
 
kaka wew wasema... ivi mtu anakutamkia "mm nazuga tu pale simpendi na kwanza huwa silali nae" na anakuonyesha meseji za mume wake akililia apewe mambo walau siku moja kwa wik na anakataliwa si utaamini$!? halafu anapewa sheria ya kutumia kondomu bila kondomu hapati na wew unatumia unavyotaka mtoto anajishughulisha zaidi ya uwezo wake si utapagawa? hiv vitu anko ni vya kuacha tu... ila ninakushukuru kwa ushauri

aisee! Napata picha flan hivi:
umewahi kuwa na uhusiano na wanawake wangapi?
. Nafkir hujawahi kutamkiwa neno nakupenda kutoka kwa mwanamke na huyo ni wa kwanza ndio maana unadata.

Kuna hatar inakufuata ww endelea kujifanya unapendwa wakat anakukejeli
 
Hiyo hatari nishaiepuka mpaka hapo... si msichana wangu wa kwanza na nishawah kuwa na mahusiano na wasichana wengi tu kaka wala usiwaze... kitu cha kijinga nilichokuwa nataka kukifanya kwa huyu ni kulipiza kisasi kwa mumewe but nimeona si jambo la kistaarbu na ukwel nampenda na ni wife material haswaa lkn kwa jins ilivyo itanbid niache mchezo huo...
 
dah! Unanisikitisha sana mkuu!
Hivi ni nini hasa kimekukumba?
Yaan mke wa mtu tena aliyekusaliti anakuendesha hivyo?

Unatudhalilisha wanaume wenzako mkuu

Nisame sana mkuu... lakin haniendeshi ila ni hisia za roho ya kisasi ndio zilikuwa zinanisumbua... nimekuwa kwenye mahusiano toka 2002 kwa hivyo si kama unavodai msichana wa kwanza huyo nimeanza nae mdogo nimefungua njia yake ndio maana amekuwa msumbufu vile na si kuniendesha kama unavofkria. sorry guys nimeshaacha saiv
 
Mbaya zaidi alikuwa nae kabla hajaolewa, kilichomtoa ni nini na kinachomrudisha ni nini au alisahau nini mpaka atake kurudi? Usii entatain coz alikuoana wa nini we mwone wa kazi gani.

Kilichomtoa hasa ni ugeni wa jiji na tamaa za wasichana lkn bado akawa analazmisha... kifupi ni hivo lkn pia kurudiana naye ni hisia zangu za kipuuzi... I promise ntakuja nikupe majib in the coming 6 months nitakuwa different... in my life ckuwah kufikiria nitazin na mke wa mtu nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana wengi na wameolewa na wakawa wanataka tuwe tunaiba lkn kamwe sikuwapa nafasi lakn huyu mwanamke dah nikfikiria naona roho ya kisas ilikuwa imeningangania... now I am free...

mind you dont trust women they are very weak kuwadanganya inachukuwa sekunde
 
Back
Top Bottom