Kuna host mmoja alikuja dar kutoka Arusha akiwa na wazungu wawili, jamaa alizubaa kidogo tu mitaa ya Jmo wageni wake waliibiwa pesa zote, aliwaacha wageni kubadilishana pesa na wenyeji bundle kubwa la pesa nyekundu kumbe ndani makaratasi. Ilikuwa kilio
Kwa mipango uliyonayo kwakweli Mungu akuongeze muda wa kuishi, gharama za wema huu pia utalipwa na Mungu mwenyewe. Naamini hawa watu wanaotegemea kuvutwa kwa hii kamba unaoturushia ni wengi na hii kazi unayoifanya imewashinda ndugu zetu wengi wa damu wenye uwezo mkubwa. Hata nisipofanikiwa mimi...
Mkuu izzo usiniache nje 0625777496.
Babangu alikuwa anakuja nyumbani na wageni kutoka Canada lakini kipindi hicho nilikuwa mdogo sikujua chochote leo hii nimekua na sinae tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.