Recent content by only83

  1. only83

    Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

    Kama uwaelewi watu kama Zuchu mshukuru Mungu mkuu, maana amekuepusha na joka ibilisi na mambo yake.
  2. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Samahani wadau naomba muendelee kunisaidia majina ya matawi ya SIMBA na YANGA maarufu jijini DSM.
  3. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Yani pamoja na kutoa tahadhari juu ya kupunguza masihara kwenye hii thread bado tunasonga. Haya bwana, watanzania ndivyo tulivyo.
  4. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Samahani mkuu lipo eneo gani hili tawi?
  5. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Lipo eneo gani hili mkuu?
  6. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Habari za hapa jamvini wadau! Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali yalipo. Kuna utafiti unatakiwa kufanyika, na kwa hiyo naomba kama huna taarifa za msaada usiharibu...
  7. only83

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Kwangu mimi Tundu Lissu anatakiwa kuwa CASE STUDY kwa wanafunzi wa ngazi zote namna ya kuwa na uwezo wa kujieleza na kujenga hoja. Ukitoa Mwalimu Nyerere, nadhani Tundu Lissu ni the best kwenye eneo hili.
  8. only83

    Ndege za ATCL zaanza kuhujumiwa na wafanyakazi. Waziri atoa onyo

    Ninadhani tulifanya haraka sana kukimbilia kununua ndege bila kufanya upembuzi yakinifu kwenye shirika letu la ndege. Kulipaswa kuwe na upembuzi yakinifu ili kujua tunaweza kulifanya shirika letu la ndege kuwa shindani kabla ya kulipa ndege. Haya tunayosikia kama hujuma dhidi ya ATCL ni...
  9. only83

    Serikali kumkaanga Cyprian Musiba kwa kuandika habari ''Vigogo 14 hatari kwa nchi watajwa''

    Wakati gazeti hili linawachafua viongozi wengine nje ya CCM ilionekana kuwa sawa. Leo wameanza kuguswa baadhi ya watu fulani ndani ya CCM imekuwa nongwa. Nadhani tuache double standard, hili gazeti ni uchafu na nitashangaa kama lisipofungiwa kwa muda usiojulikana.
  10. only83

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kama mfupa mgumu unafanyiwa namna hii, vipi mifupa laini?
  11. only83

    MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Nadhani watafiti wa sayansi ya siasa wangejaribu kufanya tafiti kuona namna ambavyo ulimwengu unatutazama kufaatia hama hama hii ya wanasiasa toka upinzani kwenda CCM na hasa kwa kuzingatia kuwa wengi wanaohama ni aidha wabunge au madiwani wa kuchaguliwa.
  12. only83

    Bashe: Vyombo vya ulinzi na usalama vimlinde mgombea wa CHADEMA jimbo la Ukonga

    Lusinde anafaa kuwa waziri kwa sifa ya wale watu wanaoishi Mirembe.
  13. only83

    Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Inawezekana huyu Musiba anaandika haya kwasababu ya chuki binafsi dhidi ya Zitto na hasa za kiasiasa kwa kuzingatia namna ambavyo Musiba amekuwa vuvuzela la CCM na Serikali kwasasa. Mimi sina shida na hilo, VIPI KUHUSU HUYU DADA ALIYEHAMUA KUMUANIKA NAMNA HII BILA KUJALI NI KWELI AU LA, Je hii...
  14. only83

    Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Gazeti la Tanzanite ni tatizo kwa kweli...sijui msemaji wa serikali aliyekuwa mbele kufungia magazeti kama Mwananchi, Tanzania Daima, Raia Mwema, nk anasubiri nini kwa gazeti ili.
Back
Top Bottom