Recent content by Online life

  1. Online life

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

    Unaweza kunitumiaa apk inbox maana playstore nayo haifunguki
  2. Online life

    CHADEMA jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo

    Upinzani halisi na halali ulikuwa ni ule wa 2015 kabla ya Lowasa hawa wengine wote ni ujanja ujanja wa kuchumia tumbo
  3. Online life

    CHADEMA jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo

    Kwa takribani siku kama tano hivi mfululizo chadema wanazidi kushuka umaarufu wao kwenye mitandao sijui shida ni nini
  4. Online life

    Tanzania Government Bans Sending of Messages With The Word 'Tundu Lissu' in the Text

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Online life

    Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

    Labda kama unavyosema kuwa hizo sheria ni kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa ila nimeshawahi kupokea mpaka 20k$ na ilinichukua wiki mbili tu kukamilisha maelezo na pesa ikaingia kwenye account yangu tayari
  6. Online life

    Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

    Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
  7. Online life

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Online life

    12 Most wangerous ways women trap men permanently in relationships

    Thread imekuja kwa kuchelewa, nimesha naswa na namba tano.[emoji37][emoji37] bora usinge ileta tuendelee kukamatwa wengi
  9. Online life

    Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Ninacho kukubali una kauzungu fulani hivi unaweza kuadmit kama ulikuwa umekosea
Back
Top Bottom